CHRISSIE255
JF-Expert Member
- Jan 21, 2020
- 221
- 180
Unazivaaga?Na yeye ameiga ya Dulla Makabila na Dullvani?
Makubwa haya, wakitaka na bikini waje niwape
Unataka ngapi nikupe?
Aisee! Inasikitisha sana na kuhuzunisha kwa watoto wa kiumeni!Namfananisha na hawa wakina meja wengine wa huko DaslamView attachment 1367950
Sent using Jamii Forums mobile app
mmmmmh huu mwonekano wake unaleta mashaka sana
Na yeye ameiga ya Dulla Makabila na Dullvani?
Makubwa haya, wakitaka na bikini waje niwape
anyway nakusalimia DepalSi ndio huyu walisemaga kafa Mtani?Ha ha ha, singeli imetoka kwenye wanaume kucheza huku wanabinua matako mpaka waimbaji kujitengeneza mionekano ya kike.
Hehe jamani.. Wanaume wanaishaNa yeye ameiga ya Dulla Makabila na Dullvani?
Makubwa haya, wakitaka na bikini waje niwape
Si ndio huyu walisemaga kafa Mtani?