R reandle JF-Expert Member Joined May 6, 2009 Posts 11,166 Reaction score 8,159 Jun 15, 2016 #41 Jaslaws said: Hivi mbn rayc haponi au yeye yuko so addicted.. Click to expand... Labda alikuwa anajidunga! Addiction ya mtu anayenusa ni rahisi kuibomoa compared na anayejidunga!
Jaslaws said: Hivi mbn rayc haponi au yeye yuko so addicted.. Click to expand... Labda alikuwa anajidunga! Addiction ya mtu anayenusa ni rahisi kuibomoa compared na anayejidunga!
Abunwasi JF-Expert Member Joined Jun 25, 2009 Posts 5,486 Reaction score 3,483 Jun 15, 2016 #42 Chinga One said: Chidi Benzino katika ubora wake mchizi ana recover kwa uzuri kabisa,eeh Maulana mjalie mja wako ujio mpya...View attachment 356562 Click to expand... Na yeye anapaswa kujitambua na kuacha kabisa matumizi ya madawa hayo na aepukane na washikaji wake ambao walikuwa wanashirikiana kwenye starehe hizo
Chinga One said: Chidi Benzino katika ubora wake mchizi ana recover kwa uzuri kabisa,eeh Maulana mjalie mja wako ujio mpya...View attachment 356562 Click to expand... Na yeye anapaswa kujitambua na kuacha kabisa matumizi ya madawa hayo na aepukane na washikaji wake ambao walikuwa wanashirikiana kwenye starehe hizo
M msikivu66 JF-Expert Member Joined May 17, 2015 Posts 254 Reaction score 125 Jun 15, 2016 #43 FYATU said: Alafu hii tabia ya kuwataja wanaoacha kubwia sembe kama Mashujaa, mi huwa siielewi kabisa...nadhani kutotumia kabisa ndio ushujaa. Click to expand... Ni kweli kabisa kutotumia ndio ushujaa, Ila mtu akifanikiwa kuacha Ni bahati sana, ni ushujaa pia, nyunga Ni mbaya sana, mara nyingi ukianza huwa akuna kutoka.
FYATU said: Alafu hii tabia ya kuwataja wanaoacha kubwia sembe kama Mashujaa, mi huwa siielewi kabisa...nadhani kutotumia kabisa ndio ushujaa. Click to expand... Ni kweli kabisa kutotumia ndio ushujaa, Ila mtu akifanikiwa kuacha Ni bahati sana, ni ushujaa pia, nyunga Ni mbaya sana, mara nyingi ukianza huwa akuna kutoka.
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,599 Reaction score 127,968 Jun 15, 2016 #44 samsun said: Substitute ndio nini ???? Click to expand... Msaidizi kama Mke wa Diamond iwapo Zari akiwa mapumzikoni Kampala.
samsun said: Substitute ndio nini ???? Click to expand... Msaidizi kama Mke wa Diamond iwapo Zari akiwa mapumzikoni Kampala.
samsun JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 7,386 Reaction score 5,968 Jun 16, 2016 #45 GENTAMYCINE said: Msaidizi kama Mke wa Diamond iwapo Zari akiwa mapumzikoni Kampala. Click to expand... Unamsaidia Zari !!! kumbe wewe ni demu ????
GENTAMYCINE said: Msaidizi kama Mke wa Diamond iwapo Zari akiwa mapumzikoni Kampala. Click to expand... Unamsaidia Zari !!! kumbe wewe ni demu ????