Muombezi Mwingine Huyu Hapa

Huyu inawezeka akawa mchungaji wa south africa ambaye alikuwa akiwalisha waumini wake vitu vya ajabu na kufanya ya kutisha ila nasikia alikatazwa na serikali.
 
Kama hiyo ndio tiketi ya kwenda mbinguni basi nendeni tu, mimi nabaki lolote litokee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…