Muomba Mungu hachoki : Tundu Lissu kumshukuru Mungu Jijini London June 2

Kama kabudi atakuwepo kwa ziara rasmi Dr Asharose Migiro atakuwepo pia. Labda watasaidia kujibu hoja za TAML vizuri zaidi.
Katuhakikishia washkaji hapa London kwenye kikao chetu cha juzi kuwa kutakuwa nae pia ikiwezekena na waziri kabudi atakuja
 
Ukiwa mwenye kutzama mbali sana utaona kuwa huyu jamaa ni kichwa lkn ukiendelea kutazama zaidi utazalisha maswali meeengi ikiwa ni pamoja na kutaka kujua mfadhili wake kwenye ziara na makelele anayopiga anakuwa na faida mingi kabisa
Kwani mfadhili wa CCM huwa anapata nini?
 
Mungu wa uponyaji, Mungu wa mapendo, hakika kakuponya TL. Nenda kamshukuru sana sana sana! Hapo Landon nitakuwa pamoja nanyi on line baada ya kumaliza misa takatifu katika parokia yangu.
Mkuu na baada ya kufika tz hapa kanisani kwetu parokia ya tegeta tunaposali nae pia tutamuandalia misa maalumu ya kumshukuru Mungu nadhani intelijensia ya mambonow haitaleta fyokofyoko.
 
Back
Top Bottom