Munishi kuunguruma Kitunda Ukonga leo

Munishi kuunguruma Kitunda Ukonga leo

THE COMMISSIONER

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
267
Reaction score
111
Baada ya kufanya ziara ndefu ya ujenzi wa chama na Baraza la Vijana mikoani kwa takribani wiki tatu, Katibu Mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi leo ataunguruma jimboni Ukonga - Kitunda ambako licha ya kufanya mkutano mkubwa wa hadhara atafanya ufunguzi wa matawi kadhaa ya chama na pia kupokea mabalozi 13 wa nyumba kumi kumi kutoka CCM.
Karibuni wote
 
Usiseme toka magambani nena walojitambua ili kuwapa weledi bora, hilo lichama mufilisi usijaje kwani limejaa uozo mtupu. Hongera kwa hao walojitambua
 
Ndio maana huwa naipenda CDM,wakati wao wanapiga porojo mitandaoni sisi tunajenga chama tu!
 
Ni baada ya mkutano wa leo uliofanyika kata ya kitunda, mkutano huo uliohutubiwa na katibu wa BAVICHA taifa kamanda Munishi. Kamanda amezidi kukiumbua chama cha ccm kuwa na utawala wa panya.Katika kunadi sera za chadema kamanda amewaomba wananchi waendelee kukiunga mkono kwani ndicho chama pekee kinachoweza kumkomboa mwananchi kwani ndio mtetezi pekee wa haki za wanyonge. Katika mkutano huo wajumbe watatu wa mashina ya kitunda relini na wanachama kutoka ccm kuamua kujiunga na chama cha ukombozi (CDM).
 
Attachments

  • Photo-0005.jpg
    Photo-0005.jpg
    291.4 KB · Views: 441
  • Photo-0006.jpg
    Photo-0006.jpg
    249.1 KB · Views: 365
  • Photo-0007.jpg
    Photo-0007.jpg
    288.8 KB · Views: 361
Hizi ndizo habari tunazotaka kusikia na si kupiga porojo huku jamvini
 
Huku CCM na vibaraka wake ACT wakihangaika kuchafua Chadema Mungu anazidi kukipigania.
 
Huku CCM na vibaraka wake ACT wakihangaika kuchafua Chadema Mungu anazidi kukipigania.

Hakuna awezae kuhimili vishindo vya CDM.

Hakuna awezae kuhimili mziki wa CDM

CDM ndio habari ya Tanzania

Kule wakina Mnyika, huko wakina Lissu huku wakina Munishi

CCM a.k.a Interahamwe lazima waufyate tuu!
 
anaitwa deogratius aikaeli mbowe hili la munishi ni kuwapoteza wananchi. Angalia hata sura ni mbowe hivyo hivyo ispokuwa deo ni mwupe,freeman ni mweusi......hatudanganyiki
 
Huku CCM na vibaraka wake ACT wakihangaika kuchafua Chadema Mungu anazidi kukipigania.
Mungu au yesu? Bora utembee na hirizi,sumu au tindikali kuliko kuudanganya umma. Hakuna chembe ya mungu kwa chadema...mungu hana chama.simameni mhesabiwe acheni ulaghai
 
Baada ya kufanya ziara ndefu ya ujenzi wa chama na Baraza la Vijana mikoani kwa takribani wiki tatu, Katibu Mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi leo ataunguruma jimboni Ukonga - Kitunda ambako licha ya kufanya mkutano mkubwa wa hadhara atafanya ufunguzi wa matawi kadhaa ya chama na pia kupokea mabalozi 13 wa nyumba kumi kumi kutoka CCM.
Karibuni wote
Declare interest...jina halisi la deogratius sio munishi ni mbowe...kama kusoma hujui hata picha huoni?
 
anaitwa deogratius aikaeli mbowe hili la munishi ni kuwapoteza wananchi. Angalia hata sura ni mbowe hivyo hivyo ispokuwa deo ni mwupe,freeman ni mweusi......hatudanganyiki

Vijana wa Interahamwe mna akili fupi! Hivi akiwa Deogratias Freeman Mbowe ndio kutatoa uhalali kwake kuwavua magamba ama kutabatilisha? Furahia basi, anaitwa Deogratias Freeman Mbowe na emazaliwa na mama yako, Chakubimbi mkubwa wewe!
 
Mungu au yesu? Bora utembee na hirizi,sumu au tindikali kuliko kuudanganya umma. Hakuna chembe ya mungu kwa chadema...mungu hana chama.simameni mhesabiwe acheni ulaghai

Magamba mna mungu, chadema tuna Mungu!
 
Back
Top Bottom