kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,124
Pole, hakika Mungu ni mwema sana kwetu.Nimepaki gari mtaa mmoja kuna duka, nikashuka kwenda kununua maji ya chupa.
Nimerudi vizuri mpaka kwenye Gari, nikaweka gia ya kurudi nyuma. Aisee nimemburuza mtoto mdogo wa kiume, nikajua nimeua.
Nikainama kwenye sterling, nikamuomba Mungu wangu kwa dhati na unyenyekevu. Wakati huo vijana zaidi ya ishirini wamezunguka Gari pamoja na wazazi wa yule mtoto.
Mungu mkubwa mtoto katoka mzima na bahati nzuri kuna watu wazima waliona lile tukio hivyo wakathibitisha mimi sijafanya makosa, ila mtoto na wazazi wake ndio wenye makosa. Wakazidi kusema wazazi wa sasa hivi hawako makini na watoto kabisa.
Nikawachua mtoto na wazazi wake mpaka Polisi, kisha hospital bahati mbaya walikuwa hawana bima hivyo elfu arobaini zimenitoka.
Namshukuru Mungu kwa sababu sasa hivi hata kuchinja kuku siwezi sembuse kumtoa uhai mtoto.
Ndugu zangu yatupasa tuwe makini uswahili na magari yetu haya mkopo.
Pole, hakika Mungu ni mwema sana kwetu.
Ulikuwa na makosa, ulitakiwa kabla ya kurudi uhakikishe kwamba ni salama, ni jambo la kushukuru kama hakuna madhara.
Umenusurika kuuliwa maana Vijana wa mitaani huwa zao hzo !! Pole sana na keep on kumshukuru Muumba !! "kweli kuna mtu huko mbali anakuombea mema 24/7" labda mama yako mzazi!!Asante mkuu, yaani sijaamini mpaka muda huu.
Hakika Mungu ni mwema mkuu, ngoja nijipoze na bangi kidogo maana sio kazi rahisi.
Umenusurika kuuliwa maana Vijana wa mitaani huwa zao hzo !! Pole sana na keep on kumshukuru Muumba !! "kweli kuna mtu huko mbali anakuombea mema 24/7" labda mama yako mzazi!!
Ajali hutokea kama ilivyoandikwa kudra...!! ila Malaika huteremka fasta kwa kasi ya mwangaza kuepusha maafa/balaa/majanga kwa namna ya ahuweni wepesi bila hasara kubwa !!Huwezi kuamini nimesita sana kutoka leo, mpaka natoka home roho yangu ilikuwa inasita sana, na bila kuangalia watu wanyuma walio kuwa wakipita njia ningemuua aisee!
Ajali hutokea kama ilivyoandikwa kudra...!! ila Malaika huteremka fasta kwa kasi ya mwangaza kuepusha maafa/balaa/majanga kwa namna ya ahuweni wepesi bila hasara kubwa !!
Umeniskitisha kusema huwezi kuchinja hata kuku... ila ulipaswa uagize huko kijijini wakuchinjie ka Mbuzi na ugawe nyama Swadaka... or else upatapo wasaa fanya ugawe hata some few Tzs!!Asante sana mkuu kwa kunifariji, asante sana ndugu yangu.
jitahidi mkuu katoe sadaka ya siriUmeniskitisha kusema huwezi kuchinja hata kuku... ila ulipaswa uagize huko kijijini wakuchinjie ka Mbuzi na ugawe nyama Swadaka... or else upatapo wasaa fanya ugawe hata some few Tzs!!
Exactly !! umenena...jitahidi mkuu katoe sadaka ya siri
Ushapuliza bange?Asante mkuu, yaani sijaamini mpaka muda huu.
Hakika Mungu ni mwema mkuu, ngoja nijipoze na bangi kidogo maana sio kazi rahisi.
Ushapuliza bange?
Ahahah Bangi tena? Sasa si ndio utaua kabisa ukitoka hapo?Asante mkuu, yaani sijaamini mpaka muda huu.
Hakika Mungu ni mwema mkuu, ngoja nijipoze na bangi kidogo maana sio kazi rahisi.
Ahahah Bangi tena? Sasa si ndio utaua kabisa ukitoka hapo?