Ha haMungu naona na wewe kakunyima akili kakupa kipaji cha umbea
Mungu hakupi wala hakunyimi vyote, na yeye ndio mpangaji nani ampe nini , nani amnyime nini,
![]()
Wapo walionyimwa mwili na shape na kupewa akili, wapo pia waliopewa mwili shape na kunyimwa akili.
![]()
Tujifunze kushukuru kwa kila kitu kutoka kwake.
Sijui mimi ndio nina marienge.[emoji23][emoji23][emoji23]kuna kitu unatafuta my dear.
La muhimu wote ni binadamu,na wanafaa kwa matumizi.Sasa yupi ni yupi? Yupi aliyepewa shepu na yupi aliyenyimwa?
Ee basi napunguza!Unaongea ukweli sana tatizo lako, ebu stop it bhasi.