ProcrastinatorInChief
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 13,003
- 29,457
Hakuna Mitosis Zenye Rangi Mkuu Mitosis colour Ray wala radiant..Elimu ya namna Mwenyezi Mungu alivyomuumba binadamu huwezi kuipata kwenye comment zangu. Kama unataka niDM uniachie namba yako ya simu mie nikutafute nikueleze kwa mapana na marefu kulingana na yeye mwenyewe Mwenyezi Mungu alivyoeleza kwenye kitabu chake kitakatifu cha Qur'an. Hapa hata nkikuambia mfano ni "Mitosis" unaniuliza tena za njano au za kijani?
Nkikuambia za njano utauliza tena za juu au za chini? Yaan ilimradi tubishane tu
Na Quran naijua Ila haina Mitosis utakachokifanya ni utaelezea Mawazo yako ya elimu uliyopata Plus Utaisaidia Quran kuchambua Mawazo yako