yusuphmarcogaga
Senior Member
- Jan 5, 2014
- 145
- 162
Wana Jf nimekuja kwenu angalau kupata maarifa kuhusu hii methali. Nimekuwa nikijiuliza maswali haya ambayo mwenye uelewa nayo anaweza kutusaidia
1. Chimbuko la ufananisho wa Mungu na Athuman ni nini?
2.Je ? Athuman alikuwa mtu mwenye sifa zipi mpaka akalinganishwa(compare) na Mungu
3.Je methali au msemo huu unatumika tu katika Tanzania au Afrika Masharika au imepenetrate kwa kiasi gan? Je kama ni zaid ya hapa wao wanatumia huyu huyu athuman ama lah? Ni nan hasa wanamtumia
4. Tunamjua siku zote mpinzani wa Mungu ni shetani na ndio mwenye ushawishi angalau unaolekeana na wa Mungu. Je kwann badala ya kumtumia Shetani kama mpinzani wake alitumika Athumani???
5. Je hatuoni sasa tunampaisha Athumani na kumpa sifa asizostaili kumlinganisha na Mungu???? Mfano ni sahihi kusema "" Marcogaga si Magufuli?? Ilhali hadhi yake na yangu haziendani.
6. Kwanini sasa tusione kwamba methali au msemo huu si linganifu na haupaswi kutumika tena???
NAWASILISHA