Stanley Mitchell II
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 971
- 1,301
Dahhh...!!Butogwa wewe ndo mwanamke ambaye niko tiar nikose chakula lakini siyo kukukosa wewe, ndo maana ninamuomba Mungu mwenyezi afanikishe katika hili
Haha domo kama chai jaba
Uyo atakunyonya mpaka korodani
Ukimuona mpe salam zangu mkuu
Mimi natamani kumuoa Wema Sepetu. Kwa sasa atakuwa ame. matureAman iwe juu yenu wakuu wa jukwaa hili
Kama kichwa cha cha habari kinavyosomeka hapo juu
Nishawahi kuleta uzi hapa nikielezea kwa masikitiko makubwa sana ni kwa namna gani namzimikia butogwa, watu waliniponda sana na kudai kuwa nimepotea njia kwa kuwa demu ana sura ya baba yake ni mbaya sijui hana shep
Niliwashangaa sana walionibeza maana wao wanazani kila aliye mbaya kwao basi pia atakuwa mubaya kwa wengine,
Mimi kwangu butogwa ni wife material ni mwanamke aliye kamilika kuanzia sura, umbo urefu hadi akili
Kuna watu watasema kuwa yule dada ni msomi hivyo sitaweza lakin mimi nitawacheka kisukuma hiiiiiiii afu nitarudi kwenye mandiko ya kitabu kimoja kitakatifu cha bible ambacho kimesema ishini na wanawake kwa akili tu, kwa msitari huo wa biblia inamanisha kuwa mwanamke akikuzid urefu siyo mbaya pia mwanamke akikuzidi rangi siyo mbaya pia mwanamke akikuzidi kipato siyo mbaya ila kibaya tu asikuzidi akili na pia kibaya zaid ni kuwa malio hicho ndo kibaya
Mimi bado sijachoka kukupenda wewe butogwa shija mimi nakupenda sana tena upendo kutoka moyoni kabisa
Nakuhitaji sana wewe dada
Ni bora nipigwe mawe lakin si kukosa upendo wako
Ni ukweli usio na shaka ya kwamba mimi hunijui wala hujawahi kuniona lakin mimi nakupenda sana, naomba ujue hilo na kama itakupendeza bas unijue pia
Butogwa wewe ndo mwanamke ambaye niko tiar nikose chakula lakini siyo kukukosa wewe, ndo maana ninamuomba Mungu mwenyezi afanikishe katika hili
Mimi ni kijana mwenzako wa kisukuma
Nakuzimikia sana butogwa
Kwa wasiojua maana ya butogwa, BUTOGWA ni jina la kisukuma likiwa na maana ya UPENDO AU PENDO
Naomba dunia nzima inisaidie kufukikisha ujumbe huu kwa mhusika naomba hata media au blog zinisaidie sana
Naomba dunia nzima ijue kuwa nampenda huyu dada
Asanteni sana
Nawasilisha
View attachment 1193725View attachment 1193726View attachment 1193727
Bado nina matumain ya kumpata ingawa sijui hata kama ashawahi soma ujumbe huuUtampata tu
Hana mvuto kwako mimi ndo nimekufa nimeozaDemu hana mvuto wowote yan
Namzimikia sana mkuu kwanza nikimuona nitamwenya mwenya sanaUnaweza ukamuona Live na Usimpende. Huwa inatokea....
Love ina majumuisho na vitu ving. Sio muonekano tu.
Ww unachopitia ni admire na sio Love.