Mungu niondolee hulka ya kuwaamini wanasiasa

Mungu niondolee hulka ya kuwaamini wanasiasa

Wewe shoger usiniletee ukuku wa CCM na CHADEMA hapa. Nimekuwa mapumziko nyumbani kijijini,nimekuta wananchi wanapeleka mpunga dukani kubadirishana na mafuta ya kula na kupaka sababu ya maisha magumu ambayo hayajawahi kuwepo kabla harafu kenge wachache wanakwambia wanaunga mkono juhudi za mtu kuwapatia maisha bora Watanzania. Nimefika Kakola, nimefika Bugarama nilichokishuhudia ni watu wanajichukulia nyumba bure za waliokuwa wafanyakazi wa mgodi baada ya kukosa wanunuzi na wakaamua kuondoka kwenda makwao


Kwa nini unaniita shoga? Mbna uko obsessed sana na sodoma au ulipata wrong love nini kutoka kwa Babako utotoni ?
 
Hapa tuna maswali ya kujiuliza kiongozi.

Ni kwanini Jamii yetu imeshindwa hili?

Je, ni historia ya kisiasa jamii iliyopitia toka tunapata Uhuru au ni mifumo iliyopo!

lakini hii mifumo inawekwa na nani kama sio sisi wananchi kupitia miongoni mwetu tunaowapa mamlaka ya kutuongoza?
Mindset ya mwafrika ndiyo tatizo,
Hata Wazungu na Waasia walikuwa hivi hivi mnamo karne zilizopita.
Lakini baada ya karne nyingi walipata akili na wakafahamu sehemu yao kwenye jamii.
Baada ya kupatwa na matatizo makubwa na kukubali kwamba wenyewe na watawala ndiyo sehemu ya matatizo nchi zao zilibadilika mara moja. Hata Tanzania itabadilika tu, (Nakuhakikishia asilimia 100%), sema swali la kujiuliza ni hili: Je, Tanzania itabadilika kwa njia ya Amani au Machafuko kama yale ya Ulaya na Asia.
 
Kwangu nchi sio lazima iwe na chama cha upinzani kikubwa chenye nguvu.

ninatoa mifano...kuna nchi hazina mfumo mpana na wenye nguvu wa upinzania lakini ni nchi zilizo piga hatua katika maendeleo ya jamii.

Ng'wanapagi wewe si unaijua Botswana? kuna upinzani wowote wenye nguvu?

kikubwa nchi iwe na wanachi wenye fikra pevu na maono mapana juu ya nchi yao. ikishakuwa hivi hata Mwanasiasa akifanya jambo baya anahofia sauti ya jamii.
Botswana ni nchi iliyopata bahati ya kuwa na viongozi na sio watawala
 
Back
Top Bottom