The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,582
- 7,250
ubishi wao kutaka kushindana na Mungu ndio unaokeraNgoja waje nao wapatwe.
kwani mara ngapi hata watabir wametuongopea,anakwambia hivi,matokeo yanakuwa vileMnamo tarehe 1 mwezi huu wa tisa kulitokea kupakatwa kwa jua, watalaam wa mambo ya kidunia walitabiri hili swala na kujionyesha wajuaji zaidi walitabiri mpk muda na sehemu pia,
lakini nimeshindwa kuelewa hawa wanaojiita wanasayansi mbona hawakutuambia kuhusu tetemeko la ardhi kwamba litatokea lini na wapi na muda pia?
nadhani sasa ni wakati wao kuamini MUNGU yupo.
lakini nimeshindwa kuelewa hawa wanaojiita wanasayansi mbona hawakutuambia kuhusu tetemeko la ardhi kwamba litatokea lini na wapi na muda pia?
nadhani sasa ni wakati wao kuamini MUNGU yupo.
wewe umeshatajwa ni mmoja kati ya watu wabishi sana humu, swali kwanini mlishindwa kutabiri kama mlivyotabiri kwenye jua?Huyo mungu kwa nini kashindwa kulizuia hilo tetemeko lisitokee?
Au kalisababisha yeye?
Kama kalisababisha yeye, mungu gani huyo katili hivyo?
basi waache kujifanya wanaujua huu ulimwengu kuliko kitu chochote wajue yupo anaeumiliki.kwani mara ngapi hata watabir wametuongopea,anakwambia hivi,matokeo yanakuwa vile
ngabu nawe umeanza kumuiga yule jamaa mbishi mbishi kwenye hizi mada shauri yako mwenyeweHuyo mungu kwa nini kashindwa kulizuia hilo tetemeko lisitokee?
Au kalisababisha yeye?
Kama kalisababisha yeye, mungu gani huyo katili hivyo?
walisemaga mwisho wa dunia mwaka 2000 lakini mpaka sasa tunadundabasi waache kujifanya wanaujua huu ulimwengu kuliko kitu chochote wajue yupo anaeumiliki.
wewe umeshatajwa ni mmoja kati ya watu wabishi sana humu, swali kwanini mlishindwa kutabiri kama mlivyotabiri kwenye jua?
ngabu nawe umeanza kumuiga yule jamaa mbishi mbishi kwenye hizi mada shauri yako mwenyewe
Huyo mungu kwa nini kashindwa kulizuia hilo tetemeko lisitokee?
Au kalisababisha yeye?
Kama kalisababisha yeye, mungu gani huyo katili hivyo?
sawa sio lazima unaweza ukapita maana kwa ilichokiandika nimeshajua ni mtu wa aina ganiHii argument yako ni very mediocre kiasi kwamba najiskia aibu kuwepo jamiiforums na low mind person like you... !
Shame on me.. ! [emoji29] [emoji29] [emoji29]
mkuu kwani wewe ni dini gani?Tulishindwa na nani?
Uliambiwa tunajua kila kitu?
Mungu wenu muweza wa yote, mwenye upendo, na aliyepo kila sehemu mbona kashindwa kulizuia tetemeko lisitokee leo?
mkuu kwani wewe ni dini gani?
Nyani Ngabu umenikumbusha kuna rafiki yangu juzi nilimwambia amuombe Mungu akasema bora aniombe mimi huyo Mungu hajui atamuona wapi? Hapo nikaondoka mwenyewe sikai na watu wenye kejeli na Mungu. Nakuja na suali lakini nageuza upande. Kwahio unamaanisha hakuna Mungu ndio maana hata Yesu akafikia kusulubiwa kutokana hajapata msaada kutoka kwa Mungu?Huyo mungu kwa nini kashindwa kulizuia hilo tetemeko lisitokee?
Au kalisababisha yeye?
Kama kalisababisha yeye, mungu gani huyo katili hivyo?