Mungu najua ananitaarifu kuhusu jambo muhimu ila naona simuelewi


Unaota ndoto za aina gani??tafuta hili somo la mwl.christopher mwakasege nauwakika utapata majibu yako
 
Mkuu hata mimi hii hali ninayo kwa sasa. Ninapata shida sana kuamka asubuhi na kwenda kibaruani na kuna wakati natamani hata kuacha kazi but kila nikikumbuka msoto wa kitaa najilazimisha kiaina. But nimekuja gundua ni kwa sababu kazi yangu ni too demanding na likizo sipati ya kueleweka na nikiipata likizo sipumziki nakimbizana na ishu za kijamii. Nakushauri kama unaweza kupata likizo ndefu like mwezi chukua fasta ukapumzike kweli kweli utapata relief
 
Hali hii hunipata pia.Hali kama mfadhaiko,kuwa down sanaaa like nakata tamaa,like nakuwa napata mafundisho.

Ambacho huwa nafanya ni kukaa ndani peke yangu kwa muda mrefu sn bila kuwasha screen Wala data.Kama ni maumivu nayaacha yaniingie vilivyo.Kama ni kukwama nawaza ni kwa nini nimekwama na nani chanzo.Kisha huwa naamua KUPAMBANA mpaka tone la mwisho ktk kila kitu kinachonikabili.


NEVER GIVE UP.
 
Ni maswala ya ndoa, unapaswa kuoa ndicho anachokumbia Mungu. Pia omba kila siku kabla ya kulala kuna shambulio la kiroho usiku na ni kutoka kwa roho inayotaka kuchukua nafasi ya mkeo ajaye. Maombi ya kweli yatakusaidia.
 
jaribu kufungwa swaumu siku saba
 
Mkuu hili tatizo mm pia limenikumba....yaan unakuwa na imaginations za matatizo, majanga, magonjwa nk.
Ambapo nafsi inaanza kuyadiscuss in reality but in negative effect, ambapo utajikuta unaingiwa na huzuni kubwa kwa kuwa tayari umesha ona kuna hatari kubwa kupitia imagination, ( kuna mifano nataman kutoa ila nashindwa coz hapa ni pablic ) nn cha kufanya.....kuna jamaa humu wamekueleza vizuri sana mpaka nimefrah na mm jaribu kwanza Kumushirikisha Muumba yy mwenye huu ulimwengu na vitu vyote vilivyomo(Mungu)wakati huohuo taratibu jifunze tahajudi(mindfullness meditation) Kaa chini jaribu kuchunguza nafsi pengine kuna inshu za mshinikizo huzifagilii saana ila ukajikuta unainvolve.fikiria kuwa tupo wengi haupo peke yako, mfno mm hapa, tumeumbiwa mapito flan hivi.....ila kama utawiwa nibip au sms 0766674754 mm ni mwenzio
 
Do you understand the word exists....?
For example when I say God exists, what do you understand about that?
Exists where?

Obviously God (the idea of God to be more precise) exists in all of our imaginations when we discuss his existence.

So, when you talk about defining the word exists, you have to be specific with the domain you are talking about.

Otherwise you may end up being told that that which does not exist exists in nonexistence.
 

Umemaliza kila kitu, hili wengi hawalijui..
 

hilo ndio la msingi, kujiuliza wapi umekosea na kuchukua action, binafsi nilipambana na hali kama hii sana ila niligundua tatizo lilipokuwa..
 
siku ukituambia tumetokeaje bila kutuuliza kwani huyo mungu katokeaje tutakuamini
 
Kuna mtu alikuwa na hali kama yako siku mbili tu baada ya kuudhihirishia umma hali yake akajitundika,chonde chonde baba usije chukua maamuzi kama ya mwenzio
 
Okoka Mpe Yesu maisha yako ili upate kujua kumwachia Mungu fadhaa zako na yeye atakupa AMANI ya kweli. Faraja ya mtu anapewa na Mungu sio mwanadamu awaye yeyote ;Mke au Mume
 
Kipindi unaamka na furaha kila siku asubuhi shetani ndio alikuwa anazungumza na wewe? Ila umeanza kuamka na huzuni ndio unasema ni Mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…