Thanks ..nitajitahidi kuwa mwombajipole sana mkuu, jitahidi kuomba maana Mungu huzungumza na sisi kwa njia nyingi.
Asante Kwa ushauriJaribu Kufunga na kuomba na kusoma vitabu vya Mungu, acha mambo ya kushinda kwenye social media hakuna msaada wa tatizo lako.
Jibu utalipata ndani ya siku tatu tu.
Yawezekana ni jambo baya linalokunyemelea, maana bila shaka utakuwa mtu wa totoz.
Asante Kwa ushauri
But totoz are just friends
NotedEnergy yako inategemea watu wengine na social media kama ulivyotanabaisha. Hali unayopitia ni ya kawaida na ni kipindi cha mpito, isipokuwa unapaswa kubadilika na kujifunza kupata energy kutoka ndani kwako mwenyewe.
Mara nyingi niko reallyAcha kufanya vitu nafsi yako haiwezi, mfano usilazimishe kunywa pombe au kudanganya wakati nafsi yako haitaki hii itaondoa mgogoro na nafsi ulionao sasa, pia jifunze kuishi kwa ratiba na uwe na muda wa mazoezi asubuhi na jioni, uwe jirani na Kanisa, Msikiti au Mila na desturi kilingana na imani yako
Ninaendelea kuombaMungu uongea na binadamu kwa kutumia viashiria, maono, na ndoto. Kama kiashiria cha uzuni ujakielewa omba aongee nawe kupitia ndoto. Kama unaota ndoto usiku alafu ukiamka unakuwa na uzuni ujumbe huko kwenye hiyo ndoto. Kama unaota alafu ukumbuki omba ukiota ukumbuke maana shetani anakusahaulisha! Best wishes
NakuelewaHii hali iliniandama sana kipind fulan lkn ilikuja kupotea yenyewe yaan moyo ulikuwa hauna amani pia furaha inakosekana kabisa na ukiangalia sababu inayopelekea hivyo huioni