monaco
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,184
- 1,780
Wakuuuu bwana na bibi salaamu na Kheri ya christmas...
jamani watu wanatafuta wapenzi kwa mbinu nyingi sana wengine wakiamini maujanja ndio yanawafaa ktk kuwapata wenzi,wengine pesa mbele....nk.
simaanishi pesa haitakiwi,bt jamani kuwa na mke mwema au mume mwema hakuhitaji kuwa na Phd,masters ya masuala haya no..no...,Goti tu,mwana na imani yako,hata kama uwe mjanja kama naniii,ahhh nimemsahau humu. Mwisho wa siku yakikupata lazima umrudie Mungu na kuzunguka sana kwa akina naniiii.....mwisho wake utaanza tu kuomba Mungu....na kutumia rasilimali ulizokuwa nazo,siri hii tunaijua sisi tusiopenda makuu,waporipori kama mimi wenye kujisalimisha mapema kwa God kabla hayajatukuta....nakumbusha tu jamani....