Amour justine
Member
- Apr 11, 2018
- 90
- 57
Asante mungu kwa kunijalia siku nyingine naomba ulinzi wako kutwa nzima ya leo uniepushe na aina zozote za kishetani,unipe nguvu na afya njema,katika jina lako takatifu
AMINA.
AMINA.