JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,941
Watu wengi tuna hamu kubwa sana ya kuwa karibu na wanamapinduzi. Nani asiyetamani kushikana japo mkono na watu kama Fidel Castro? au mtu kama Martin Luther au hapa kwetu mtu kama Nyerere au Sokoine?
Kiukweli mimi ni mmoja kati ya watu wanaopenda kuwa karibu na wanamapinduzi wanaopambana na dhuruma hasa kwa wanyonge. Huwezi amini leo nitapata fursa ya kusafiri na Prof Baregu, Kabudi na Polepole, japo nimewasalimia kwa uoga sana.
Wanaelekea Mwanza na fastjet ya saa 9 kasoro. Nipongezeni wandugu.