Mungu ibariki Tanzania

Mungu ibariki Tanzania

The mediator

Member
Joined
Jun 15, 2011
Posts
14
Reaction score
5
Wapendwa wananchi wenzangu wa nchi yetu ya Tanzania, napenda kuwaomba nami niwe mmoja wa familia hii nzuri na yenye busara tele. Naamini nitajifunza mengi sana kutoka kwenu. Naomba msaada wenu pale ninapokosea na mnirekebishe ili na mimi niweze kuelimika kupitia familia hii ya JF.

Mungu ibariki Tanzania
 
karibu sana,umepitia jukwaa la utambulisho??
 
Back
Top Bottom