technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,553
- 57,843
Niwaambie Mungu hakuna kitu anapanga hapa duniani
Mungu hapangi watawala wa kisiasa Wala kidini.
Dini zote nimeletwa na wanadamu na zinawatumikia wanadamu.
Nawaambia hata vifo vyote vinatokana tu na binadamu.
Mnamsubiri Mungu endeleeni lakini nnawaambia.
Duniania Ni shetani makini na wachawi ndio wanaendesha kila kitu.
Tusimusingizie Mungu wala tusimwachie Mungu maana Mungu hayupo kumtetea mtu yeyote hapa duniani.
Mtu atatetewa na mtu mwenzie na atateswa na mtu mwenzie.