MUNGU HUTIMIZA MAPENZI YAKE

Hekimaninjema

New Member
Jan 21, 2018
3
5
Kuwa Makini Usitumie Neno Lazima.
Iwapomtumishi wa Mungu au mtu yeyote atasema ya kwamba kila akiombacho lazima Mungu atafanya, hiyo siyo njiani sahihi. Nasema hivyo kwa sababu Mungu yeye ni kuu, enzi na mamlaka yote binguni na duniani ni yake. Yeye anajibu maombi yetu sawasawa na mapenzi yake. Kwa hiyo haiwezekani mtu yeyote ambaye ni kiumbe aliyeumba na Mungu amlazimishe au kumshawishi kwa njia ya kuomba kwa imani. Lakini mtu aupendezaye moyo wa Mungu akiomba kitu chochote kwa imani na unyenyekevu huyo humsikia na kumpa haja ya moyo wake. Ndio maana imeandikwa "...Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni.]" Luka 11:2.

JE RAFIKI YAKO WA KWELI NI YUPI? KUJUA ZAIDI BOFYA HAPA CHINI:
RAFIKI WA KWELI KATI YA MTU NA MWENZAKE.
 
Back
Top Bottom