Mungu azidi kukubariki Tundu Lissu, siku kama ya leo ulipita kwenye bonde la uvuli wa mauti Mungu wa mbinguni akakuponya!

Hivi ni kitu gani kinachasababisha wasirudi Tanzania mpaka leo?

Kama ni usalama waliokuwa wanaulilia kila siku walishahakikishiwa, wakakubali kurudi, ajabu mpaka leo kimya...
 
" Mhe. Mbowe hakikisha Tundu Lissu hahamishiwi Muhimbili hospital" Ashukuriwe aliyempa ushauri huu Mbowe, washukuriwe madaktari waliompatia huduma ya awali Dodoma General Hosp, marehemu mbunge wa CCM aliyetoa ndege kwa mkopo haraka ya kumpeleka Kenya, madaktari wa Nairobi hosp na Mhe. Mbowe kwa kutii ushauri wa kumsafirisha Nairobi. Walaniwe wote waliokula jamaa kutenda ukatili huu, na wale wote waliokwisha laniwa kwa namna Moja au nyingine kwa kumnyima pesa ya matibabu na waliokuwa wanashinikiza akatibiwe Muhimbili.
 
Hivi ni kitu gani kinachasababisha wasirudi Tanzania mpaka leo?

Kama ni usalama waliokuwa wanaulilia kila siku walishahakikishiwa, wakakubali kurudi, ajabu mpaka leo kimya...
Ulaya kutamu nani anapenda kula vumbi,
"Maslahi ya Wananchi.." my foot
 
Sasa ni dhahiri kwamba serikali ya Tanzania inawaficha waliomshambulia Lissu Dodoma September 7/9/2017 , hii haina Ubishi .

Bali tunawahakikishia Wapenda haki wote Duniani kwamba WOTE WALIOHUSIKA NA SHAMBULIO LA KISHAMBA DHIDI YA UHAI WA TUNDU LISSU WATAKAMATWA NA MUNGU NA WATAPUKUTISHWA KAMA VUMBI LA MKAA WAKATI WA KIMBUNGA

Ondoeni Shaka , KILA UBAYA UTALIPWA
Kwani kuna waliobaki zaidi ya Makonda..kta?
 
mjkkk.png
 
Sasa ni dhahiri kwamba serikali ya Tanzania inawaficha waliomshambulia Lissu Dodoma September 7/9/2017 , hii haina Ubishi .

Bali tunawahakikishia Wapenda haki wote Duniani kwamba WOTE WALIOHUSIKA NA SHAMBULIO LA KISHAMBA DHIDI YA UHAI WA TUNDU LISSU WATAKAMATWA NA MUNGU NA WATAPUKUTISHWA KAMA VUMBI LA MKAA WAKATI WA KIMBUNGA

Ondoeni Shaka , KILA UBAYA UTALIPWA
Sahau mbowe akamatwi kwa sababu kwa sasa kapewa sega la asali yeye na mama kazi yao ni moja tu kupambana na Marehemu
 
Sasa ni dhahiri kwamba serikali ya Tanzania inawaficha waliomshambulia Lissu Dodoma September 7/9/2017 , hii haina Ubishi .

Bali tunawahakikishia Wapenda haki wote Duniani kwamba WOTE WALIOHUSIKA NA SHAMBULIO LA KISHAMBA DHIDI YA UHAI WA TUNDU LISSU WATAKAMATWA NA MUNGU NA WATAPUKUTISHWA KAMA VUMBI LA MKAA WAKATI WA KIMBUNGA

Ondoeni Shaka , KILA UBAYA UTALIPWA
Karma is bitch..! Kama haibagui
 
Mmoja wao tayali tushamfukia
 
Back
Top Bottom