Mungu atalipa!

WANUFAIKA WA SABAYA HAO,ACHANA NAO.
KWANINI ASIKAMATWE GONDWE NK

SHERIA IWE KWA WOTE,HATA HIZO KINGA ZA JOBO ZILALAMIKIWE HADI ZIFUTWE.
 
Mimi najua hadi sasa Mungu analipa. Alianza kwa kumwondosha mtesaji wa taifa hili (Jiwe) na sasa analipa kwa Sabaya. Halafu wewe unatuambiaje hapa?
 
Hakuna awamu watu wasio na hatia walifanyiwa unyama WA kulawitiwa kama awamu ya tano. Magufuli aliyajua alivyokuwa akifanya Sabaya lakini hakuchukua hatua. Tulikuwa na Rais WA ajabu Sana.
Hii tuhuma nzito sana. Nani alilawitiwa? Ni mwenyewe alisema kuna walioona?!?
 
Mleta bandiko unamtetea sabaya[emoji15][emoji15][emoji15],
Sio mzima wewe kapimwe,labda unaumwa[emoji34][emoji34]
 
Daima siwezi kutetea uhaini wa fedhuri yeyote yule
 
Stand na mbakaji haina shida tutaelewana tuu
 
Pumbavu mkubwa wewe
Mfuate mumeo lupango imeisha hiyo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unayo haki, kwani si kila mtu aone kama uonavyo wewe ama wewe uone kama waonavyo wao!!

Nayaheshimu mawazo yako mkuu

Salute kwako
 
Naunga mkono hoja watanzania hatujui tunataka Nini sabaya alipiga kazi mno wafanyabiashara wahuni walikoma nimeona video zake Facebook jinsi anavyoibua wakwepa Kodi kijana huyu hawezi kufungwa..nasimama na makonda, Magufuli na sabaya milele
Mataga wewe muhuni Kama huyo mumeo
Saiv amekunya kwenye debe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Magu ni IDD Amin wa kizazi hiki au Mobutu....poleni Watutsi..ndio maana Tall kachelewa kutuma rambirambi anamuogopa JK
 
Labda yule mungu wenu aliyekufa Kwa COVID 19
 
Shenzi sana wewe. Muone.
 
Mumeo huyo lakini leo chamoto atakipata atafokolewa balaa
 
Naunga mkono hoja watanzania hatujui tunataka Nini sabaya alipiga kazi mno wafanyabiashara wahuni walikoma nimeona video zake Facebook jinsi anavyoibua wakwepa Kodi kijana huyu hawezi kufungwa..nasimama na makonda, Magufuli na sabaya milele
Kwa hiyo Takukuru na mahakama sio za kuaminika tena?
 
hili ndo tatizo la division five
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…