Mungu anipe moyo wa chuma

Bado ujasema na utasema, katika maisha lazima humizwe kwanza ndo moyo wako uwe ngangali na shupavu.

Maumivu ya mapenzi ayakimbiliki tena ukiwa unaoenda kweli, usiogope ni moja ya mapito ya maisha. Vumilia na potezea tu vitu hvyo akuna shupavu wala staring ktk mapenzi.

Omba usiumizwe sana tu. Unaweza ukasema umtafute mbadala wake ila bana ukapata maumivu vile vile. Usipende sana na kuwa bize sana na maisha yako na vitu ambavo vitakiwa vinakupa furaha zaidi ya mapenzi ndo uta win
 
Hakuna moment ngumu kama 'hivi upo serious unataka tuachane..!?'
Huku moyo unaenda mbio, what if akisema Yes..!?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ

Mapenzi ni uphaller sana..!!
Unajibiwa … yes, coz I see no future btn us.. utakavyoiweke hiyo simu pembeni usikilizie huo mshtuko!! Me sipo 🀣🀣
 
Haha.. mwanafunzi mtiifu wa Mwamposa, naomba ushare nami hayo mafundisho. Kuna ka chalii flani nataka kujiungamanisha nako 😍
Shika njia ya neno la mwamba kwanza hapo... Hapo kwenye mtiifu sijasomaaaa.. mtiifu wakati kila siku Nazini?
 
Unajibiwa … yes, coz I see no future btn us.. utakavyoiweke hiyo simu pembeni usikilizie huo mshtuko!! Me sipo 🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mungu aniepushe mbali na hicho kikombe maana nahisi nitachizi..!!
 

Utaumia mpaka akili zikukae ndiyo utakua makini
 
Hakuna moment ngumu kama 'hivi upo serious unataka tuachane..!?'
Huku moyo unaenda mbio, what if akisema Yes..!?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ

Mapenzi ni uphaller sana..!!
"Uphaller"
😁
 
Hajawahi fanya chochote cha kukushtua moyo? Haha mkuu!! Una moyo spesho πŸ™Œ
Kwakwel niseme tu ukwel hajawahi kunishtua moyo honestly, licha ya mitikisiko yoote maana sio kwamba sijakutwa na matukio!!.

Hilo moja my wife to be akatingisha kiberit siku week 2 kabla ya ndoa ,ilikua 2015, anataka tuachane eti , nikasema uko serious? Akasema ndio nika mwambia fresh. Nikapiga simu home kwa mzee iringa kwamba sitisheni vikao vyote na hela za watu zirudishwe hakuna ndoa. Mzee aka panic nkasema ndio hivyo mzee tusi fosi mambo, akampigia mkwewe simu akamwita aende mkoa, manzi alikimbia fasta kwenda kuyamaliza mimi nikamwambia siendi, nenda wewe uliyeyataka mkimalizana niambie mkishindwana na wazee usipige hata simu.
 
Shika njia ya neno la mwamba kwanza hapo... Hapo kwenye mtiifu sijasomaaaa.. mtiifu wakati kila siku Nazini?
Kila siku unafanyaje?? Haha unahitaji kutolewa huko kimaombi kijana..

Mwanafunzi mtiifu.. unajitahidigi kumsikiliza Mwamposa,, hayo mengine unayo yafanya kila siku sijui unakwamia wapi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mungu anataka tuwe na moyo wa nyama ili maumivu wanayopata wengine tuyahisi
Sasa mchiz anaomba moyo wa chumba wakat Mwamba hata moyo wa jiwe hataki tuwe nao.Anataka wa nyama πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.. dah Mungu kiboko..Na ulimwengu huu ukiwa na moyo wa nyama mbona unakufa siki sio zako
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€­
Hata nikiskia 'aposto kuna muujiza huku', 'Nini kimetokea..??'
Lazima nimkose..!!
πŸ˜‚πŸ˜‚ jamaniiiii
Naona vile unaoanisha na kubaki unachekelea rohoni.

Em kwanza fumba macho tuombe kheri na baraka.. tupokee muujiza ile β€˜kisiriasi’ πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Halafu ukute sasa unayemuuliza Nate kama anavunga kujibu afu aonyshe kama hajali.

Moyo unaenda mbio plus jasho


Ila [emoji16][emoji16][emoji16]
Duh! Unaona sasa mambo yenyewe hayo[emoji23]

Kwa pamoja tuombe moyo wa chuma Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…