Ni mecheeeeka, kiswahili kipana mkuu, na huko dsm wazamiaji wengi so usikute huyo jamaa hilo neno mtoto / watoto hakukuelewa so yeye alielewa unamaanisha watoto kama watoto means kids, thus why akakupeleka huko.
But am sure uli enjoy kwa kuwaona hata hao yatima sio mbaya nara moja moja kuinjoy nao wanafurah kupata mgeni
Nice