Mungu anaipenda familia yangu!!!!!

Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
18,653
13,472
ni last week tu nimetoka home kuja huku ninako hangaikia maisha ya famila!jana nimeongea na wife kwa skype hadi saa 4 usiku!!asubuhi napigiwa simu na namba ya jirani 'nipigie mimi mkeo usiku tumevamiwa na majambazi'!tulipomaliza kuskype anajilaza kidogo kama saa 6 majambazi yakafika yakaanza kuvunja mlango kwa zaidi ya nusu saa yakafanikiwa kuingia ndani!!yana taka dola!!!jamani dola kweli majohe zitoke wapi!!wakachukua laptop na hela kidogo waliyoikuta ndani!!wakabeba simu za majirani pia wanaokuja kucharge hapo home wakachukua ufunguo wa gari na fujo nyingi!!zoezi zima limechukua zaidi ya saa nzima,walipotaka kutoka wakadondosha ufunguo,nasikia wameutafuta bila mafanikio!!cha kumshukuru Mungu ni kwamba wamechua walichoweza ila wameacha uhai wa familia!kweli MUNGU ANAIPENDA FAMILIA YANGU!
 
Da kweli Mungu anaweza kutenda kwa namna ya ajabu pole

ahsante sana mkuu,Mungu naamini ametenda maajabu yake pale ambapo halikumwagika hata tone la damu!!!!nazidi kumkabidhi Mungu maisha yetu!!
 
pole sana mkuu.... Mshukuru Mungu ameiponya familia....


Hizi ajira milioni moja hizi zitatuletea matatizo....
Ingekua ni wazungu/wageni mwema angewasaka (ingawa wezi wote wanawajua) na mngepata vitu vyenu
 
Mungu ni mwema. Pole mkuu.
Sasa hivi ukikuta mtu anamchoma mwizi na tairi nadhani utaongezea mafuta. Hawa watu ndo wametufanya tumekuwa na roho za chuma, mimi sina huruma na mwizi asilani!
 
Kwa kuwa hawakumdhuru mtu; asavali. Kwa kweli kuna aina nyingi za wezi; wale wa 'tugawane' mi sina shida nao sana...ni zao la umasikini wa nchi yetu lakini wana utu.

Wakuchoma moto ni wale wanaotumia mapanga na silaha za moto kudhuru watu...yani unakuta anaiba afu anajerui au kuua kabisa; na wengine wanaamua kubaka. Kweli huna budi kumshuru Mungu.
 
Back
Top Bottom