Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,100
Mnafundisha kumuona MUNGU?
Wote Wapo Poa, Tatu Mgonde Anakukaribsha Akupe Kazi, Odoro Mungu Anazidi Na Atazidi Kumuinua Maana Sasa Yeye Ni Baba Mchungaji
Hahhaaa dogo acha uoga wewe Illovo tatu anipe kazi? Au mi nimtoe huko kwenye tope ninsogeze hata hapa bodi ya sukari.
Nani anataka ku deal na wahindi wajinga!
Nini kazi ya R/Mtakatifu?
Mwenzako Yupo Ofcn sasa iv amakula maisha, hii kampuni kubwa hna title duniani!!! au unadhan utawala wa lyamba?
Yesu Ndye Mwl Mkuu Ndye Ametuachia Haya Tuyafundishe Maana Wengne Bado Hawaamin Kama Kuna Mitume Na Manabii Hata Leo Na Kupelekea Kukosa Mambo Mengi, Karbu Sana Ktk Chuo Hiki Cha "Roho Mtakatifu" Kiitwacho "Mlima Wa Neema" Ruaha Kilombero. Unakujua Kilombero???Kumbe utume na unabii unasomewa? Yesu alisomea wapi?
Back to the topic!
Naona unahama pasipo kujitambua.
mmhh mnafundisha Kumuona Mungu?haya bana
Yesu Ndye Mwl Mkuu Ndye Ametuachia Haya Tuyafundishe Maana Wengne Bado Hawaamin Kama Kuna Mitume Na Manabii Hata Leo Na Kupelekea Kukosa Mambo Mengi, Karbu Sana Ktk Chuo Hiki Cha "Roho Mtakatifu" Kiitwacho "Mlima Wa Neema" Ruaha Kilombero. Unakujua Kilombero???