Mungu akupe maisha marefu Mh JPM.

Mungu akupe maisha marefu Mh JPM.

B.4really

Senior Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
199
Reaction score
89
Nimefurahishwa na kitendo cha utu aliouonyesha Rais wa JMT cha kuamuru fedha kiasi cha zaidi ya Tsh mil.225 zilizokuwa zimechangishwa na wahisani mbalimbali kwa ajili ya pongezi kwa wabunge na ufunguzi wa bunge LA 11 kupelekwa Hosp ya muhimbili kwa ajili ya kununulia vitanda,kiukweli jambo hili ni zuri na ni jema kwa nchi yetu na ni funzo kwa baadhi ya viongozi wapenda anasa na wasio na mioyo ya huruma kwa wananchi na taifa hili kwa ujumla na umetuonesha na kutudhihirishia uongozi sio anasa Bali ni utu na uwajibikaji kwa waliokupa dhamana.
Mwenyezi mungu akubariki na akuongoze kwa kila ulitendalo
 
usanii kama kawa tu...Waziri mkuu binamu wa Mama Salma Kikwete angalia madudu aliyoyafanya kwa naibu spika..
 
Hapa kazi tu huyu ndiyo magufuli wakuu atafanya mengi sana.
 
usanii kama kawa tu...Waziri mkuu binamu wa Mama Salma Kikwete angalia madudu aliyoyafanya kwa naibu spika..
Mafisadi mwaka huu mnakazi kweli mlidhani ufisadi utawafikisha popote mnaona mlivyopata aibu na bado mahakama ya mafisadi inakuja mtanyooka tu.
 
je lowassa angefanya zaid ya haya! mie nafikiri nchi hii Mungu amempa Magufuli kwa ajili ya kilio cha watu wengi wanaoteseka, maguful ndiye Rais tunaemhitaji, ukawa acheni kususa maana haiwasaidii sanasana mtabaki nje bila kulisaidia Taifa hili. muungeni mkono achana na lowassa na Seif, wameshazeeka hao, jiandaeni kwa uchaguzi wa 2020, piganieni katiba mpya ili kuwe na uwazi. lowasa angeunda serikali ya kirafiki tu zaidi na ufisadi ungeendelea kama kawa. mwacheni JPM afanye kazi, mtieni moyo muombeeni avuke salama...
 
Nimefurahishwa na kitendo cha utu aliouonyesha Rais wa JMT cha kuamuru fedha kiasi cha zaidi ya Tsh mil.225 zilizokuwa zimechangishwa na wahisani mbalimbali kwa ajili ya pongezi kwa wabunge na ufunguzi wa bunge LA 11 kupelekwa Hosp ya muhimbili kwa ajili ya kununulia vitanda,kiukweli jambo hili ni zuri na ni jema kwa nchi yetu na ni funzo kwa baadhi ya viongozi wapenda anasa na wasio na mioyo ya huruma kwa wananchi na taifa hili kwa ujumla na umetuonesha na kutudhihirishia uongozi sio anasa Bali ni utu na uwajibikaji kwa waliokupa dhamana.
Mwenyezi mungu akubariki na akuongoze kwa kila ulitendalo
PAMOJA SANA COMMANDER!
Anayesema nguvu za soda basi hamjui DR. MAGUFULI.
MWENYEZI MUNGU ATULINDIE RAIS WETU ILI ATULINDE KWA HII MIAKA KUMI NA KISHA ATUACHE KWENYE MIKONO SAFI MINGINE! AMEEN!
 
je lowassa angefanya zaid ya haya! mie nafikiri nchi hii Mungu amempa Magufuli kwa ajili ya kilio cha watu wengi wanaoteseka, maguful ndiye Rais tunaemhitaji, ukawa acheni kususa maana haiwasaidii sanasana mtabaki nje bila kulisaidia Taifa hili. muungeni mkono achana na lowassa na Seif, wameshazeeka hao, jiandaeni kwa uchaguzi wa 2020, piganieni katiba mpya ili kuwe na uwazi. lowasa angeunda serikali ya kirafiki tu zaidi na ufisadi ungeendelea kama kawa. mwacheni JPM afanye kazi, mtieni moyo muombeeni avuke salama...

Tena Ufisadi ungekuwa mkubwa kuliko ilivyo wahi kuwa... Mafisadi wote ndani na nje ya TZ this time ndio waliokuwa watoa pesa za kampeni kwa Lowasa. Chadema kama vile haikuwepo. Kila kitu kilifanywa na familia na marafiki wa mzee mamvi. Hapo kuna Rais kweli???
 
usanii kama kawa tu...Waziri mkuu binamu wa Mama Salma Kikwete angalia madudu aliyoyafanya kwa naibu spika..

Umenena vyema kabisa maana kuna jamaa nilimuuliza kuwa tatizo ni vitanda au majengo? Akasema majengo kwanza maana hivyo vitanda wataviweka wapi? That means vitanda Vitajazwa kule kwenye korido walimolala! Then sijui kitatokea kitu gani.!!
 
je lowassa angefanya zaid ya haya! mie nafikiri nchi hii Mungu amempa Magufuli kwa ajili ya kilio cha watu wengi wanaoteseka, maguful ndiye Rais tunaemhitaji, ukawa acheni kususa maana haiwasaidii sanasana mtabaki nje bila kulisaidia Taifa hili. muungeni mkono achana na lowassa na Seif, wameshazeeka hao, jiandaeni kwa uchaguzi wa 2020, piganieni katiba mpya ili kuwe na uwazi. lowasa angeunda serikali ya kirafiki tu zaidi na ufisadi ungeendelea kama kawa. mwacheni JPM afanye kazi, mtieni moyo muombeeni avuke salama...

Baada ya miaka miwili kupita na magufuri akaendelea na spidi hii ntamwamini. Ila kwa sasa simuamini hata kidogo.
 
Tena Ufisadi ungekuwa mkubwa kuliko ilivyo wahi kuwa... Mafisadi wote ndani na nje ya TZ this time ndio waliokuwa watoa pesa za kampeni kwa Lowasa. Chadema kama vile haikuwepo. Kila kitu kilifanywa na familia na marafiki wa mzee mamvi. Hapo kuna Rais kweli???

Hata mkuu wetu kuna kipindi alikuwa na kashfa ya kumpa nyumba mdogo nyumba, naye ni fisadi
 
Ahaaaaaaa eti maisha marefu. Ni yesu tu atakaeishi maisha marefu baada ya kutenda mema na haki akaonja mauti na kufufuka.
 
Back
Top Bottom