umenena vyema Allah akusimamie katika shughuli zako za kila siku.
Mwacheni Mungu aitwe Mungu. Mungu si mwanadmu hata aseme uongo au amfanyie mtu kusudi. Mungu haongwi kikombe cha maziwa wala glass ya wisky. Mungu ni Mungu tu na atabaki kuwa Mungu daima. Mungu hawai wala hachelewi ahadi zake kwetu ni za milele na anatuwazia mema hivyo tumtegemea yeye pekee.

Binadam huwa tunapitia katika misukosuko mingi wakati wa kusaka maisha, kuna kutereza na kuanguka lakini wanaume na wenye hurka za kiume huwa tunasimama tunafuta vumbi na kuendelea na safari.
Mda mwingine huwa tunaleta misuguano katika ndoa zetu hasa tunapoamua kujitupa mbali kutafuta maisha kama mimi hapa lakini hatuna budi kusimama na kuyashinda maisha maana hatuwezi tukabaki nyumbani huku tukiangaliana usoni.
Mungu ametenda na ataendelea kutenda maana yeye ni muweza yeye ni yeye yule jana leo na hata milele yote sitaangalia binadam watasema nini ee Mwenyezi nisaidie
hujaeleweka vizuri, ebu sema kilichokusibu mkuu