Mums are good!

Mums are good!

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,923
Reaction score
95,765
[emoji8][emoji7][emoji8][emoji7][emoji8]
 

Attachments

  • 1477321633744.jpg
    1477321633744.jpg
    91.8 KB · Views: 49
Mama ni mpenzi, rafiki mzuri na mshauri wa kweli hapa duniani.
Na mama sio lazima aliyekuzaa
Wapo wanaozaliwa bila kuwaona
Wazazi wao.
Lakini wakikua hawakosi kuita neno "mama"
Tuwathamini na kuwa heshimu
Mama / walezi wetu.
 
ukabila,udini,ukanda,udar vs umkoan sasa tunaanza umama vs ubaba yangu macho
 
ukabila,udini,ukanda,udar vs umkoan sasa tunaanza umama vs ubaba yangu macho
Unalalamika nini? Mama ni mama tu inyeshe mvua, upepo uvume au jua liwake.Baba kweli ana thamani yake ila mama kamzidi kwa mbali sana.
 
Huyu mama anaupendo sana kwa watoto. Ningemshindilia mimba nane huyu
 
Back
Top Bottom