mumewanguu
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 261
- 259
Na kuna jamaa mwingine alikuaga na sheri za mafuta, kasulu na kitagataKuna jamaa ndio ilikua Kazi yake yaani anaua watu anapakia damu kwenye madumu anawauzia warundii..
Somewhere called
Bubango-Kigoma
Mkuu,unanikoshaga sana!Hivi mnafahamu kuwa damu isipohifadhiwa kitaalamu huganda mara moja. Sasa hayo madumu yalihifadhiwa kwa utaalamu gani?
Nikitaka niulize mfano wa swali hili, ahsante wacha niungane nawe kusubiri majibu.Hivi mnafahamu kuwa damu isipohifadhiwa kitaalamu huganda mara moja. Sasa hayo madumu yalihifadhiwa kwa utaalamu gani?
Ukitia chumvi ya mawe, haigandiHivi mnafahamu kuwa damu isipohifadhiwa kitaalamu huganda mara moja. Sasa hayo madumu yalihifadhiwa kwa utaalamu gani?
Sasa unaweza kumfanyia mgonjwa blood transfusion na damu yeye chumvi ya mawe?Ukitia chumvi ya mawe, haigandi
Wahenga
Sasa utie chumvi halafu bado ifae kwa matumizi ya kuwekewa mtu ?Ukitia chumvi ya mawe, haigandi
Wahenga
Naona umewakamata pabaya wazee wa chaiHivi mnafahamu kuwa damu isipohifadhiwa kitaalamu huganda mara moja. Sasa hayo madumu yalihifadhiwa kwa utaalamu gani?
Mumiani hawakuwa wakichukua damu kwa ajili ya matumizi ya binadamuSasa utie chumvi halafu bado ifae kwa matumizi ya kuwekewa mtu ?
Umeniwahi tu kwenye hili. ..........za kusadikika.Hivi mnafahamu kuwa damu isipohifadhiwa kitaalamu huganda mara moja. Sasa hayo madumu yalihifadhiwa kwa utaalamu gani?
Kumbe ilikuwa ya kutengenezea kichuri?Mumiani hawakuwa wakichukua damu kwa ajili ya matumizi ya binadamu
Kumbe ilikuwa ya kutengenezea kichuri?
Hahaa labda walikuwa wanaweka natural anticoagulantsHivi mnafahamu kuwa damu isipohifadhiwa kitaalamu huganda mara moja. Sasa hayo madumu yalihifadhiwa kwa utaalamu gani?
Halafu hiyo damu ya Binadamu iliyowekewa chumvi wa mawe inatumika kwa ajili ya nini ?Ukitia chumvi ya mawe, haigandi
Wahenga