MUMEO KAJA MWENYEWE

mchuziwapweza

Senior Member
Joined
Aug 19, 2018
Posts
106
Reaction score
149
Wadau kama wewe ni mfuatiliaji wa kazi za wasanii naomba uje tujadili. Hivi ule wimbo wa sista fey wa kaja mwenyewe ni wa kuelimisha au kuburudisha. Naombeni maoni yenu juu ya wasanii wa bongo

wabongo kwa kiki
 
atajua mwenyewe na wanayefatilia miziki ya huyo mbuzi
 
Sasa hivi yuko bize na kiben10 chake, hebu mwacheni dada wa watu jamani. Amefanya kila kitu kutafuta kiki zimebuma. Nawaza tu kwa sauti wanawake wote wangekuwa na akili kama zile, basi dunia ingekuwa inazunguka spidi ya mwendokasi na huenda ingekosa centre of gravity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…