Mume wangu ni mlevi sana

Kabla yakuoana tabia ya huyo mumewe ilikuwaje??hapo ndo pakuanza kujiuliza
 
Kama pombe ameianza toka zamani mbona sasa unataka awache?akae nae chini akiwa sober mumewe amweleze, Kua huu Sio mda wa kuchezea pesa na mna Watoto.....
 
Dawa ya mlevi ni kumpuuza tu na kujifanya haoni tofauti, kuna kaka yangu ni mlevi vibaya mno na Mke anajitahidi kutomfatilia basi imemsaidia kumfanya wakati mwingine ajione anafanya vibaya, ajitahidi sana kutomgasi watoto Wa kike wanavumilia mengi labda kama anramdhuru ndo atafute njia nyingine.
 
ulevi unarudisha sana maendeleo nyuma........

kuna dawa za kienyeji wanasema unamwekea kwenye pombe anaacha mwenyewe.........
 
sasa aache pombe bia tutawauzia wakina nani??? acha aendelee kutumia kinywaji bhana ,
 

Kutoka moyoni huu ushauri umenivutia sana!
 
amwombee tu kwa mungu, atabadilika hakuna kinachoshindikana.
 

Wewe sasa umeamua kuelezea Tabia za mume wako za uchafu uliokithili maana mtoa mada kaomba ushauri wa kumfanya aache pombe tu..eti mdomo, boksa na soksi....mbona kumkagua anapotoka haja kubwa ujamshauri...maana walevi hata kuchamba vizuri hawachambi..ha ha ha
 

hapo umenena..
 

ushauri wako nimeupenda sana
 
pole minilijua alivikuoa amebadilika ,ila mbona unamuanika? ukichumbiwa ulikua hujui au ndio hamu ya kuolewa? mimi tuliachana baada yakujua anachepukia kwako .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…