Ndo Nyie,Nyie Mnaovunja Ndoa Za Watu. Walikutuma Uje Kuomba Ushauri Humu? Kama Sio Ndoa Yako Unawashwa Nini.
Acha Choko Choko,Hangaika Na Maisha Yako. Yatakushinda Na Utasutwa Kwenye Siafu!!
huo ulevi kaanza lini ??
kama kamkuta na ulevi wake asilalamike maana alifikiri atabadilika ndani ya ndoa kama kaunza hivi karibuni ni habari nyingine
Habari zenu wana jamii form, mimi ni mgeni umu ndani naombeni ushirikiani wenu
Nnarafiki yangu ameolewa na anawatoto watatu, tatizo lake mumewake amekua mlevi sana kiasi kwamba hata akitoka kazini anapitia bar anarudi nyumbani akiwa amelewa, siku za weekiend ndio kabisaa anarudi saakumi za usiku wakati mwingine saa kuminambili za asubuhi, akimuuliza anamjibkwadharau nakumwambia yeye hatakaa abadilike iyo ndo tabia yake, nakama anaona awezi aondoke, jamani uyu rafiki yangu amechanganyikiwa ajui afanyaje naombeni mumsaidie uyu rafiki yangu jamani.