wewe hujawahi kujamiiana nje ya ndoa?acha kutoa lawama zisizo na msingi wowote,mpe mtu ushauri wa kumjenga zaidi kuliko kumbomoa,kama huna la kushauri kaa kimya kama wenzio.
Tatizo lako ni lile lile linalosumbua wengi kama wewe, mnapenda kufanya makosa halafu mkiambiwa ukweli mnatoa mapovu midomoni, unataka usiambiwe ukweli wakati umeharibu! Unaponiuliza kama sijawahi kujamiiana nje ya ndoa huo ndiyo mchango wako? Jichunguze mwenyewe tena halafu utajua nani anapaswa kukaa kimya...
Kwa kiasi kikubwa wanawake tuko responsible kwa hili tena sana sana walioolewa!!!!
mwanamke akishaolewa anajisahau sana, unaishi na mume kwa mazoea......