Mume wangu kanitukania Mama yangu, naombeni ushauri jamani

Kakutukania tusi gani, ni mara ya kwanza kukutukania hivyo, mmeo ni mlevi? Ukiona hivyo ujue ndoa yenu imepata ufa, zibeni haraka sana isibomoke, matusi si mazuri
 
Pole Ila PESA inanguvu Sana inaweza kumfanya MTU kukufanyia jambo baya .

Tumia njia za kidiplomasia kumaliza hilo tatizo ikiwemo kuomba msamaha pande zote tatu Kwa Mme wako, x wako na Kwa Dada zako.
 
Nimeondoka nyumbani kwangu huu ni mwezi wa pili! Mume wangu kuna hela alinipa kama milioni 2, kwaajili ya kumuwekea. Mume wangu alikua ni mfanyakazi wa kampuni moja binafsi, sasa katika kampuni yao ni kama wanataka kuifunga hivyo mkataba ukiisha hakuna anayeongezewa mpya.

Mkataba wa mume wangu ulikua unaisha mwezi uliopita, tangu mwaka jana alijua kuwa ataachishwa kazi akawa anaweka hele zake kwenye akaunti yangu akihofia yeye kuzitumia

Lengo ilikua ni kazi ikiisha basi aanze biashara ikishasimama basi NSSF yake itakua imetoka anaongezea mtaji. Kuna Kaka nilikua naye kwenye mahusiano kabal ya mume wangu, tuliachana akaoa sasa tuliehndelea bdao kuwasiliana na mara nyingi alikua ananiambia kuhusu mambo yake ya ndoa na changamoto anazopitia.

Yeye ana kakampuni kakukopesha, nilipomuambia kuhusu hela ya mume wangu aliniambia kama vipi nimpe aizungushie ili kunilipa riba. Kwakua ni mtu nilikua namuamini na najua ana hela nilikubali, nikampa ile milioni mbili. Shida ikaja kwenye kunilipa, akawa ananisumbua ananiambia biashara zake haijaenda vizuri na mambo kibao.

Tulikua tunagombana kila siku, katika kutukanana na yule Kaka ndiyo mume wangua akasikia akawa ananifuatilia akajua kuwa nimegawa hela zake tena kwa X wangu kwani anamjua. Alinitukana sana, alinitukana maneno ya kunidhalilisha, alikua na hasira sana mpaka kunitukania Mama yangu!

Kwa hasira niliondoka nyumbani, nikaenda kwa dada yangu ambapo nipo mpaka sasa. Shida nikuwa, mume wangu alipiga simu mara moja tu, alipojua niko salama kwa dada yangu mpaka leo hajanitafuta. Niliacha wtaoto wawili wote wanasoma, kawachukua kawpaleka kwa Mama yake kijijini bila kuniambia yeye anaendelea na maisha.

Dada ananiambia niende kumuomba msamaha lakini sitaki kwani alinidhalilisha sana, hasa kunitukania mama yangu. Nina hasira nataka anipigie yeye simu kuniomba msamaha hata kama nilimkosea lakini hakupaswa kunitukana vile, sijui nafanya ninia niombe msamaha kwani hapa kwa dada washanichoka wananifanyia visa tu na mimi sipendi, X wangu hela ndiyo kagoma kunilipa mpaka kaniblock nisidie kaka nifanye nini?
We dada dishi limeyumba, hufai kuwa mke wa mtu we unafaa kuwa meanamke wa kuliwa na kuachwa
 
Nadhani wewe ndiye mwenye shida tena kubwa. Kosa lako la kwanza ni kuwasiliana na huyo x-wako, kosa la pili ni kutokumshirikisha mume wako kuhusu hela (kumbuka mumeo ana hekima sana, na anakupenda ndiyo maana alikushirikisha kwenye mambo yake). Kosa la tatu ulishindwa kuelewa namna ya kumu approach baada ya hela kushindwa kurudisha. Kosa la nne ni kukombia nyumbani kwako badala ya kutafuta watu wenye hekima wawshauri. Kosa la nne ni kuendelea kujiona wewe siyo mkosaji wakati wewe ndiye mwenye makosa. Cha kufanya, tumia mbinu hata kama za kichawi (Mshana Jr hapa anahusika mtafute), hakikisha huyo x-wako anarudisha hiyo hela. Yaani nenda umtishie hata kwa ndoa yake etc, toa sadaka etc hiyo hela itarudi. Wakati huo huo nenda nyumbani kwa wazazi wa mumeo waeleze scenario (ila inaweza kuwa ngumu kukuamini kama hukufanya mapenzi na huyo x wako). Ikishindikana kabisa zoea maana wewe ndiye umeratibu kuvunjika ndoa yako. Na alivyomtukana mama yako ni kwa sababu Mama yako hakukulea na kukufundisha maadili.
 
Kadada kangese aka ndio mana anaitwa GEORGE ALOYCE
 
Nimekumbuka Story ya yule Msanii wa Marekani, nimemsahau Jina, alipohukumiwa kwenda Jela sikumbuki ni Miaka mingapi, akamwachia Mwanamke wake $ 2 Millions ili azungishe kwenye Biashara, baada ya Miaka kadhaa ya kukaa Jela, alivyotoka tu, Mke wake alamkabidhi $ 6 Millions, akamwambia niliamua kuizungusha ile hela uloniachia kuliko ningeiweka Bank tu, hiyo ndo faida nimepata kwa kipindi ukiwa Jela..!!

Najaribu kulinganisha yule Mwanamke na huyu wa kwenye huu Uzi....!

Nagundua yule wa Marekani ni Wife Matetials hasa, hafu huyu wa kwenye huu Uzi ni Kiazi Mbatata, japo anajiona ana Thamani, lakini ni Maandazi tu, tena ya kumimina...!

Ki ufupi asahau kuhusu Mme wake, coz mme wake sio Mjinga tena!

NB.
Ukiona Mwanamke Mzuri hajaolewa usianze kuwaona Wanaume kama hawawezi kumuoa huyo Mwanamke!

Usione Ma X kama hawajui Mwanamke Mzuri, ila watu wanakimbia Matatizo!

Sasa Tizama, X wa huyu Mwanamke aligundua huyu Mwanamke ni Hana Akili, akaona haya ni Matatizo kaamua kumwacha, labda akaoa Mwanamke mwingine, mwenzangu na mimi kajitokeza kaamua kumsitiri huyu Mwanamke, kumbe ni Kungulu, kashindwa Kumthamini Mme wake mpaka pesa ya Mme ambaye kamsitiri, kaamua Kumpelekea X ambaye alimwacha!

Huu ni ujinga wa Kiwango cha Juu...!
 
Back
Top Bottom