Mume wangu kaniruhusu nichepuke

Umeruhusiwa unangoja nini?! Kafanye na promosheni ya TIGO
 
Mi najuaga mtoa mada ni Kidume.


Au mwisho wa story. Utaandika kwa Niaba ya Dada mmoja, aloniomba ushauri
 
we na yeye nani mkubwa k'umri ?

halafu mbona we kama muhuni flan ambaye hafai kua wife material ?

au mlikutana wote ni walevi kama unavosimulia ?
Kanizidi miaka 8,
Mi sio muhuni kiongozi najiheshimu na najielewa sana, na elimu si haba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…