Mume wangu hasimamishi, nifanyaje?!

Hakuna mchungaji mwenye akili anaweza jibu hivyo, tngawizi imezidi
 
Mitambo lazima itestiwe wewe je ukikuta Kuna ukuta yaani njia imejiziba pale au network haikamati popote mnara hausomi weeeeh!!!!! jaman Natania tuuu sihalalishi hahhahahaaaa......?
 
Mitambo lazima itestiwe wewe je ukikuta Kuna ukuta yaani njia imejiziba pale au network haikamati popote mnara hausomi weeeeh!!!!! jaman Natania tuuu sihalalishi hahhahahaaaa......?
wewe hauna imabi kabisa
 
Si kweli kuwa NI KIFO TU ndicho kinachotenganisha ndoa ya Kikristo

Kuna mamho mengi yanayoweza kuivunja ndoa ya Kikristo, kwa mfano:-

1) Iwapo mmoja alidanganya kuwa ni mzima wa Afya kumbe ni Muathirika wa HIV

2) Iwapo Mmoja ana Uhanithi lakini hakusema na hakupimwa kabla ya ndoa kufungwa

3) Iwapo Mwenzi mmoja amejaribu kumuua mwenzie aidha wa sumu au kwa namna nyingine na ikathibitika

4) Iwapo mwenzi mmoja alikuwa na Ukichaa lakini hakuweka wazi kabla ya ndoa kufungwa

Nafikiri kuna mengine mengi

FaizaFoxy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…