Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
Kabla sijauliza bei,Nauza dildo kwa bei ya punguzo
Mzigo unatembea ajabu. Njoo pm tumalize biashara.Kabla sijauliza bei,
Kwan tz wameruhusu kupitisha dildo?
Kuna mfanyakazi wa serikali alikuja mkoani kwetu, akadanganyiwa binti Mwenye kichaa. Kanisani walikuwa wanafahamu vizuri na pastor anafahamu kuwa huyo binti ana tatizo la afya ya akili na kila baada ya miezi mitatu huwa anaenda clinic ya vichaa pale Lutindi hospitalini.KWELI HATURUHUSIWI KUZINI WA KRISTO ILA KABLA YA NDOA YA KIKRISTO KUFUNGWA LAZIMA SWALA LA AFYA LA WAPENDANAO , PAMOJA NA UWEPO WA HAKI YA NDOA (TENDO) LINAZINGATIWA SANA NA MAFUNDISHO HUTOLEWA KWA WAPENDANAO ISIPO KUA SWALA LA KUPATA UZAO HILO NI LA MUNGU
KUMBUKA : NDOA YEYOTE YA KIKRISTO
Ndoa ya kikristo haifungwi kama mmoja wenu upande wa mwanaume au mwanamke ( mmoja kati yenu) amegundulika na changamoto nzito za kiafya baada ya tafiti za kitabibu kama UKIMWI AU UHANITHI AU USHOGA AU USAGAJI
Kwa upande wa mwanaume Hanithi au kwa upande wa mwanamke kichongeo hakipo kwa mantiki hiyo hawezi kutimiza fumbo la sakrament ya ndoa kwa vitendo vitakatifu
Huyo aliyefungisha ndoa ya aina hiyo nakusema hadi kifo basi hakua anajua alitendalo anapaswa kushitakiwa labda ukute tuu jamaa alianza tatizo la kutosimamisha akiwa teyari ndani ya ndoa ila kama alitoka nalo huko hiyo ndoa ni BATILI KIKRISTO
HIYO NDOA KIKRISTO NI BATILI NA INAVUNJIKA AKAE NA WATUMISHI VIZURI WANAIVUNJA NA KUFUTA AGANO HILO , WAKISHINDWA SERIKALI INAIVUNJA
😅😅😅😅MWAMBIE AINGIZE KAMA UTAMBI
Inavunjwa bila shida... Hao ni matapeli aende amawashitaki waonyeshe mahakama mambo yanayosababisha ndoa kuvunjwa au vigezo vya Ndoa.Kuna mfanyakazi wa serikali alikuja mkoani kwetu, akadanganyiwa binti Mwenye kichaa. Kanisani walikuwa wanafahamu vizuri na pastor anafahamu kuwa huyo binti ana tatizo la afya ya akili na kila baada ya miezi mitatu huwa anaenda clinic ya vichaa pale Lutindi hospitalini.
Mwanaume akafungishwa ndoa na baada ya miezi 3 dawa anazotumia binti kwa Siri zikaisha, akanza kuonyesha dalili ya ukichaa. Ndipo mwanaume akawajuza wasimamizi wa ndoa, jibu alilipewa ni hili: NDIYO ALIVYO TOKA UTOTONI, MPELEKE HOSPITALINI ATAPATA NAFUU.
jamaa akataka ndoa ivunjwe akaambiwa ndoa ya Kanisani huwa haivunjwi kwa sababu ni Agano.
Je, mwanaume angepaswa kuchukua uamuzi gani?
Unatafuta pesa kwa nguvu....pambana dada angu kuliko uuze nyuchi heri uhaso utubeHaya mje sasa
Naona kumekucha
Haya MALALAMIKO nimeyapata Kwa dada alieolewa miezi 6 iliopita, kaolewa huko Kwa walokole
Kisa kinaenda hivi
Mlokole: money penny me naumia Sana, huwezi amini tangu tuoane hatujawahi tembea pamoja kama MKE na mume
Money penny: nini mbaya mami??
Mlokole: mume hasimamishi nanii yake
Money penny: kivipi?
Mlokole: unajua Sisi kabla hamjaolewa hairuhusiwi kuzini wala kujuana sehemu zenu za siri, nikavumilia na kutii maagizo ya kanisa, lakini tulipoongea Tu yupo honey moon nikajuà mwanaume hasimamishi, sijui nafanyaje na huu NI mwezi wa 6
Money penny: umeenda kwa Mchungaji au wasimamizi WA ndoa wakasemaje?
Mlokole: wote wanasema ndoa haivunjwi kwasababu mwanaume hasimamishi kitakachovunja ndoa NI kifo Tu na Mungu wenyewe Sisi haturuhusiwi
Sasa nifanyaje??
Stori kamili: ipo YouTube channel yangu
Msaidieni binti WA watu afanyaje
Akawafungulie mashitaka ahakikishe ushahidi upo na mashahidi wapo na vithibitisho vipo pia , akafungue kesi adai nafidia hiyo ndoa inavunjwa na mahakama za Jamuhuri ya nchi usika haraka iwezekanavyo na jamaa atalipwa fidia zake zote akitaka. Kuhusu hilo agano aliloingizwa la kitapeli hata yeye anaweza akalifuta baada ya mahakama kuvunja hiyo ndoa sawa sawa na imani yake kwa Mungu wakeKuna mfanyakazi wa serikali alikuja mkoani kwetu, akadanganyiwa binti Mwenye kichaa. Kanisani walikuwa wanafahamu vizuri na pastor anafahamu kuwa huyo binti ana tatizo la afya ya akili na kila baada ya miezi mitatu huwa anaenda clinic ya vichaa pale Lutindi hospitalini.
Mwanaume akafungishwa ndoa na baada ya miezi 3 dawa anazotumia binti kwa Siri zikaisha, akanza kuonyesha dalili ya ukichaa. Ndipo mwanaume akawajuza wasimamizi wa ndoa, jibu alilipewa ni hili: NDIYO ALIVYO TOKA UTOTONI, MPELEKE HOSPITALINI ATAPATA NAFUU.
jamaa akataka ndoa ivunjwe akaambiwa ndoa ya Kanisani huwa haivunjwi kwa sababu ni Agano.
Je, mwanaume angepaswa kuchukua uamuzi gani?
Wewe una wanaume wangapi? Sasa kama hasimamishi unamwitaje mume?Haya mje sasa
Naona kumekucha
Haya MALALAMIKO nimeyapata Kwa dada alieolewa miezi 6 iliopita, kaolewa huko Kwa walokole
Kisa kinaenda hivi
Mlokole: money penny me naumia Sana, huwezi amini tangu tuoane hatujawahi tembea pamoja kama MKE na mume
Money penny: nini mbaya mami??
Mlokole: mume hasimamishi nanii yake
Money penny: kivipi?
Mlokole: unajua Sisi kabla hamjaolewa hairuhusiwi kuzini wala kujuana sehemu zenu za siri, nikavumilia na kutii maagizo ya kanisa, lakini tulipoongea Tu yupo honey moon nikajuà mwanaume hasimamishi, sijui nafanyaje na huu NI mwezi wa 6
Money penny: umeenda kwa Mchungaji au wasimamizi WA ndoa wakasemaje?
Mlokole: wote wanasema ndoa haivunjwi kwasababu mwanaume hasimamishi kitakachovunja ndoa NI kifo Tu na Mungu wenyewe Sisi haturuhusiwi
Sasa nifanyaje??
Stori kamili: ipo YouTube channel yangu
Msaidieni binti WA watu afanyaje
Bro, ulipoitwa kwenye Uzi wa Wana wa Nuru haukutokea.Hizi ni cheap campaigns zenye lengo la kuhalalisha UASHERATI kabla ya ndoa kwa kigezo Cha 'kutest mitambo'. Na hamtafanikiwa kwa jina la Yesu.
Mwanaume akikuoa utamwita MKE?!we una wanaume wangapi? Sasa km hasimamishi unamwitaje mume?
Restless Hustler umeona majibu ya wanaoenda Mbinguni?KWELI HATURUHUSIWI KUZINI WA KRISTO ILA KABLA YA NDOA YA KIKRISTO KUFUNGWA LAZIMA SWALA LA AFYA LA WAPENDANAO , PAMOJA NA UWEPO WA HAKI YA NDOA (TENDO) LINAZINGATIWA SANA NA MAFUNDISHO HUTOLEWA KWA WAPENDANAO ISIPO KUA SWALA LA KUPATA UZAO HILO NI LA MUNGU
KUMBUKA : NDOA YEYOTE YA KIKRISTO
Ndoa ya kikristo haifungwi kama mmoja wenu upande wa mwanaume au mwanamke ( mmoja kati yenu) amegundulika na changamoto nzito za kiafya baada ya tafiti za kitabibu kama UKIMWI AU UHANITHI AU USHOGA AU USAGAJI
Kwa upande wa mwanaume Hanithi au kwa upande wa mwanamke kichongeo hakipo kwa mantiki hiyo hawezi kutimiza fumbo la sakrament ya ndoa kwa vitendo vitakatifu
Huyo aliyefungisha ndoa ya aina hiyo nakusema hadi kifo basi hakua anajua alitendalo anapaswa kushitakiwa labda ukute tuu jamaa alianza tatizo la kutosimamisha akiwa teyari ndani ya ndoa ila kama alitoka nalo huko hiyo ndoa ni BATILI KIKRISTO
HIYO NDOA KIKRISTO NI BATILI NA INAVUNJIKA AKAE NA WATUMISHI VIZURI WANAIVUNJA NA KUFUTA AGANO HILO , WAKISHINDWA SERIKALI INAIVUNJA
MH, hapanaMzigo unatembea ajabu. Njoo pm tumalize biashara.