Mume wangu hapendi sex

Tunatibu tatizo lako kwa gharama nafuu sana , karibu ofisini
 
SIPATI PICHA IDADI YA PM ZIZIZOKUJA KWAKO πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Na hapa ndio kuna tatizo kubwa la ndoa zetu hizi, na shetani nae anataka nafasi hapo hapo kuhakikisha kwanza mke anachepuka kitachofuata ni mme kujua na ndoa inasambatika, shetani anabaki kuwa na furaha kuu. Mi nakushauri utulie kuna kpindi kinatokea kwa mwanaume yoyote kwenye ndoa, angalia ndoa katika mapana yake, umemsifia sana mume wako kuwa anachoka katika kutafuta lakini nikwambie kitu tu machofu hayamzuii mtu kutoa haki ya tendo la ndoa hata kidogo, inawezekana mume kiwango cha homoni za sex kimeshuka, ama hamu imeshuka, kinachotakiwa hapo ni ubunifu wako, kama mwanaume anasimamisha hakuna anaekataa sex
 
Sina cha kukushauri ila hata nibebe zege siku nzima, mzigo lazima nile.
 
Kweli kwenye miti hakuna wajenzi.
Wengine hatupati mambo haya kwa wake zetu japo tunatamani hata iwe kila siku nimkune lakini wapi. Yeye jamaa anapata mtu mwenye full nyege lakini hapigi mzigo.
Dah..
muda flani WANACHOSHA.
 
Mdigo hujambo??
 
MWILI UKIKUSUMBUA UKATE UBAKI NA ROHO, MOJA YA FAIDA KUBWA YA ROHO NI KUTOKUENDESHWA NA MWILI MAANA ROHO ITAKUWA HURU NA TAMAA ITAPUNGUA AMA KUTOKUWAPO KABISA, NA SUALA LA KUMKUMBUKA MCHEPUKO WAKO WA NMB NI WAZI KABISA SOLUTION HIYO UNAYO ILA SOLUTION HIYO IMEGOMA KULETA MAJIBU MAANA HESABU YAKO IMEKUWA NGUMU KIASI KWAMBA UKIKOKOTOA INAKUPOTEZEA.
TIJA AMA DAWA YA NYEGE NI NYEGE YENYEWE, KAMA UNAJARIBU KUKUMBUKA USALITI NA AFISA KIASI CHA KUTABASAMU MAANA YAKE UNAFURAHIA UNACHOKIFANYA NA SI VEMA KUKUZUIA KUENDELEA KUTOKUFANYA KINACHOKUPA FURAHA AMA WEWE KUONA NDIO FURAHA YAKO NI VEMA UENDELEE.
 
mkiletewa gunia mbili za mkaa mnaanza kusema huyu jamaa ana roho mbaya
 
Inawezekana mme wako amejua umemsaliti so Hana hisia tena na wewe ndo maana kesho kesho haziishi....
Mueleze ukweli kuwa ulichepuka na umuombe msamaha
 
Hapendiiiii .........ahh kuna wanaume wanatuaibisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…