Mume wangu hapendi sex

Pole sana kwa hayo unayoyapitia....kwa kweli mahitaji ya wanadamu hutofautiana sana ...ila ukweli jamaa anakosea kweli kutokupa dozi anasahau haraka kuwa chanzo cha wanandoa kuchepuka ni kutokupewa utamu ...mimi nashauri nenda nae taratibu kama kweli unampenda na pia usichepuke maana ukianza kuchepuka hutampenda tena mumeo, mtege mtege nawe vitu vingine mjiongeze...mvalie vitu mkiwa chumbani hata yeye akiona anachanganyikiwa fanya hivyo utaniambia mwenyewe
 
kweli alikua anaenjoy nilijua kumkuna hasa na mahaba kama yote kwake nilikua namliza kama motto kitandan kwa utam
NAJARIBU KUWAZA!!!!!!
 
Toka kwenye hiyo ndoa.
 
Umemshauri kiungwana sana mwelewa ataelewa vizuri sana
 
Kwanza hii story ni ya uwongo

Uliolewa ukiwa na miaka 18 na muwe wako mlikutana kwenye masuala ya kazi,

Je Secondary ulimaliza ukiwa na umri gani?

Chuo ulimaliza ukiwa na umri gani?

Na wakati unakutana na muwe wako ulikuwa na mda gani kazini?
Mkuu pengine ni kazi ya private sector like bar nk
 
pole sana mke wangu ina maana umeamua kuja kunianika huku...kweli si tungeyazungumza mambo hayo chumbani..?
 
Dah..maisha haya yapo tofauti sana saa tisa hii npo macho misuli yote inauma bibie kageukia huko kachoka hataki tena hata sijui nafanyaje hlf kuna mtu eti hapendi kusex inakera sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…