Dada yangu usiwe na hofu huu ni UKIMWI,watu wengi sana siku hizi wanaumwa ila ukipimwa huwezi kuona kitu nadhani kuna tatizo kwenye vipimo vyetu au virusi hawa ni wapya hawajajulikana,subiri kidogo tu na wewe utaanza kuumwaumwa mwishowe wote mtafariki,nawashauri msizae watoto this tym coz na wao wataumwaumwa watafariki,mi najiuliza sana huu ni UKIMWI gani hauonekani ni wengi wako hivyo,pole sana.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Mbona ulichoandika hata hakiendani na alivhoandika?.Hivi mtu anaumwa umpeleke kwenye maombi una maana gani!.Aiseee hivi haya mambo yataisha lini?.hivi kuna watu karne hii ya 21 wanaamini kwamba eti ugonjwa unatibiwa kwa maombi?

Poleni sana dada Korino, nikiwahi kupata rafiki yangu alikua na hali hiyo ya kuhisi joto kali sana saa za jioni ama pia usiku na kutokwa na jasho jingi sana, na tulifanya vipimo mbali mbali bila mafanikio.
Tukaja kutana na veterinarian mmoja akatuelekeza pale SUA morogoro wana clinic ya wanyama ndipo akatolewa damu na kumgundulika na ugonjwa wa wanyama uitwao (BRUCELOSIS) inasemekana baadhi ya technicians wa magonjwa ya binadamu hushindwa kutafsiri magonjwa ya wanyama ambayo huweza mpata binadamu (zoonotic diseases) hivyo waweza tibiwa ndivyo sivyo ama ukakosa matibabu kabisa
Sasa kiwa waweza nenda ukawaone pengine wanaweza kukusaidia kwa kuwa yule rafiki yangu yupo sawa kabisa kwa sasa.
Where is Dar group located?
Hapo TAZARA kama untoka mjini kushoto kabla hujavuka taa, just next to RTD.
Anapumzika kias masaa 8 yakulala huwa hakosi
Dada yangu usiwe na hofu huu ni UKIMWI,watu wengi sana siku hizi wanaumwa ila ukipimwa huwezi kuona kitu nadhani kuna tatizo kwenye vipimo vyetu au virusi hawa ni wapya hawajajulikana,subiri kidogo tu na wewe utaanza kuumwaumwa mwishowe wote mtafariki,nawashauri msizae watoto this tym coz na wao wataumwaumwa watafariki,mi najiuliza sana huu ni UKIMWI gani hauonekani ni wengi wako hivyo,pole sana.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
toka nimezliwa sijawahi kutana na kiumbe ambaye mungu amemnyima akili kama wewe yaani bora hata mende kwakweli alijifamulia kukaa choonidada yangu usiwe na hofu huu ni ukimwi,watu wengi sana siku hizi wanaumwa ila ukipimwa huwezi kuona kitu nadhani kuna tatizo kwenye vipimo vyetu au virusi hawa ni wapya hawajajulikana,subiri kidogo tu na wewe utaanza kuumwaumwa mwishowe wote mtafariki,nawashauri msizae watoto this tym coz na wao wataumwaumwa watafariki,mi najiuliza sana huu ni ukimwi gani hauonekani ni wengi wako hivyo,pole sana.
Sent from my blackberry 9800 using jamiiforums