Mume wangu anataka kuniua, kisa nataka kusoma

Nenda kwao mwanaume ukaseme kuhusu hiyo issue.pengine alishawahi kuugua uchizi au ni mvuta bange .halafu uwambie hao wazazi wao kuwa unakwenda kumchukulia rb police maana pengine anaweza kukoma.na pia usikubali kuishi naye tena hata akija kukuomba msamaha ni jambazi huyo.kasome na utaapata mume mwenye heri na wewe
 
Usirudi tena..hilo ndio jibu sahihi, ila baadhi wanawake tulivyo wajinga najua tunaweza kukushauri usirudi lkn ukarudi so follow your heart..kama kuchinjwa utachinjwa wewe sio sisi. USIRUDI BINTI..ishia fasta
 
Hata ukishaenda police kama ulivyoshauriwa Na wengi hapa, usije ukakubali suluhu yoyote nae, hata akikuomba Samahani kichwa chini miguu juu. Huyo madhali keshadhamiria uovu ni bora kuwa nae mbali.
 
annex girl

sizani kama ni mwanaume sahihi kwako, angekuwa sahihi asingekufanya ukiwa sec angesubiri akuoe kwanza
 
Last edited by a moderator:
Kaanae mbali pia kwa usalama wako karipoti polis tukio lake hilo la jaribio la kukuchoma kisu
 
Mchukulie RB polisi huyo,peleka msg za vitisho kama unazo ili ziwe ushahidi
 
annex girl

Huyo mwanaume hataki usome coz hataki upate mwanga wa maisha na ukafanikiwa. Ni type ya watu wanaotaka uwe chini kila siku. Home hawajakufukuza na bro anakusapoti ktk masomo.

Tafuta mtaji upate kabiashara ka kuleta kdg kwa watoto. Na uendelee na mpango huo wa kusoma. Hata kama mtarudiana mrudiane ukishajiweka sawa kimasomo. Ukirudi kwake bado hujasoma atakukataza hata kama hatakuua
 
Last edited by a moderator:
dada zetu na nyie muwe mnaangalia na watu wakuzaa nao...sasa ona ulivyojiingiza kwenye matatizo.anza kufkiria future ya hao watoto pia
 
Na kwenda kumshitakii ,,mwenzio naenda kusoma tena ananisomesha mwenyeweee sasa sijui wanaume wengine wana tabia ganii
 
Pole sana dada wanaume wana mambo ya ajabu sana, yaani kimbia wala usigeuke nyuma n mkatili sana
 
Pole sana Dada.
Hapo huna mume,Bali unaishi na fisadi la maisha na utu wako.

Wala huna haja ya kujiuliza mara mbili... HAKUFAI.
 
annex girl

Ulimshirikisha Kabla ya kuamua kusoma na baadaye kutumiwa hela..??
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom