mficha maradhi kifo humuumbua. kwake imeshatokea, wala sijui kama anasoma huku. cha msingi kwa wadada wa leo. msiende kwa waume mkiwa mikono mitupu! yanaweza kuwakuta mengi mabaya na mkakosa pa kukimbilia. hakikisheni mnakuwa na vyanzo vyenu vya kipato na hali itakapobadilika kwenye ndoa una pa kujishikiza
Moral(Maadili) na Knowledge(ilmu, yaani elimu ya dini na dunia) capitals ndio misingi wa maisha kuliko any material capital. Na kwa kweli ni materialistic mentality ndio chanzo cha matatizo. Wazazi lazima waishi wakijijua kuwa wana jukumu la mfano kwa watoto wao, aidha kwa wanayoyafanya dhahiri na wanayoyafanya kwa siri na watoto waeleweshwe kimazungumzo na kidarasa za nyumbani juu ya "haki za wanaooana" pamoja na ofcourse mambo mengineyo mengi ya kimaisha , KINAGA UBAGA BILA YA KUFICHA CHOCHOTE, kutegemeana na nyakati tofauti kutokana na umri na makuzi ya mtoto husika. Mvulana ana namna zake na msichana ana namna zake. Halali is clear na haramu ni clear, na vilivyo katikati ni doubtfull things, wajiepushe navyo na watabakia na halali tu.
Kichwa hasa cha maadili ni kwamba: imani, hofu, mapenzi, utii, utegemezi, na ibada ni lazima vielekezwe kwa mmoja tu, peke yake, bila ya kufikiria na kuamini kwamba kuna aidha mshirika, mbadala au nothing katika hili ila yeye, naye ni Mwenyezi Mungu. Wakilikamata hili tu, basi kila kitu kita-fall into place. Baba, mama, ndugu, jirani nk, kila mmoja ana nafasi na daraja yake na vile vile Mume ana nafasi na daraja na HAKI yake na mke ana nafasi na daraja na HAKI yake, individually and collectively kama wanandoa. Mipaka, roles and responsibilities ziko wazi. Hakuna kiumbe yeyooote akiwemo mume isipokuwa anastahili mapenzi, imani, utii, nk with conditions(masharti), na mke nae vilevile. Anaestahili tu haya uncondtionally (bila ya masharti) ni Mwenyezi Mungu Muumba peke yake. No one is subservient wa mwengine, as simple as that
Hii leo Geoff ni daily news, sio mzalendo, unaionaje???