Ndoa
yako ina muda gani? alianza pombe baada ama kabla ya ndoa?
ndoa yangu ina miez tisa na alikuwa anakunywa pombe ila alinificha ficha sasa anakunya mbele yang.istoshe mie ni mjamzito nina mimba ya miez sita.
Jaribu kumwona msimamizi wako wa ndoa wao watafute namna ya kuwakutanisha kwa mazungumzo
mim ni meolewa na nimefunga harusi na mume wangu, ila toka anioe mume wangu sijafurahia ndoa yangu ispokuwa siku ya honeymoon. siku hz mume wangu akija nyumban anaanza kunigombeza bila sababu,ananipiga bila kosa,hataki kuniona, anarud usiku sana nyumban amelewa nikimuuliza anaipa kipigo cha mbwa,anani2kana matusi, yaani hapa nilipo sina aman na ndoa yangu, nishaurin jaman nifanyeje?
ndoa yangu ina miez tisa na alikuwa anakunywa pombe ila alinificha ficha sasa anakunya mbele yang.istoshe mie ni mjamzito nina mimba ya miez sita.
mkuu ushauri wako naukubali kwa %100 but sio mara zote mungu anajibu onspot subira pia yahitajika.Muweke kwenye maombi, funga na kuombea ndoa yako
aaah kumbe una mimba! tena utajifungua mtoto wa kiume..ni kipindi cha mpito tu atatulia..tatizo lako unataka kummiliki..kama ulijua ana kunywa kwa kujificha sasa tatizo liko wapi akinywa huku ukimuona???!! sioni tatizo..ni hofu yako tu
mkuu ushauri wako naukubali kwa %100 but sio mara zote mungu anajibu onspot subira pia yahitajika.
bidada jichubguze kama kweli bado unampenda na hauko tayari kuikosa ndoa yako, fanya hivi, mpotezee mazima akirudi home kuwa kama haupo' usimuulize la shari wala heri, usimwombe si kwa chumvi wala sukari. mfanye mumeo fenicha ambayo ikiwepo sawa haipo sawa.
akiuliza swali usimjibu lolote lile akinyanyu8a mkono ama teke kukupiga nawe nanyua pasi ya moto ama maji moto mmwagie nakwambia atafyata mkia huyo. tena uwe kauzu si mchezo usimwendekeze hata kidogo mpe masharti unataka maisha aina gani hatak basi mwambie asikujue na hata uchi wako usimpe. fanya hayo huku ukiwa unajipanga yaani hadi akushangae nani anayekuhudumia wala usifurukute mwez tu, wa pili anarudi mwenyewe na miguu yake.
mwenzio nilivyumilia sana ingawa sikuwah kupigwa hata kibao, lkn nilivaa sura ya kazi na kuhakikisha famnilia yangu iko njema namshukuru sana Mungu siku aliamua kumbadilisha alimbvadilisha and that now is past.
kama moyoni humtaki nakushauri just quit ili uwe na amani usiangalie jamii itasema nini ama itafanya nn na usitake ushauri wa wanaklamati wakati unapo qiut manake watakukatisha tamaa.
Kwa nini anampiga mama mjamzito ..natamani nijue yuko wapi nimuweke ndani ...:A S angry:
Mai waifu alipokua mjamzito hua inatokea kipindi hutaki hata kumuona ..kumpiga itakua ni matokeo ya ujauzito tu..vinatokea sana ..mbona kawaida tu?!