Mume wangu ana michepuko mingi

Kwa hiyo umeachana kwa vile mumeo ana michepuko mingi..
1. Mingapi ungeivumilia?
2. Ukikaa bila kuolewa, unataka na wewe uwachepushe waume za watu
3. Au utakuwa unagegedana tu na yeyote ?
4. Mmezaa? na kama bado huna mpango wa kuzaa?
 
....ulikosea, mtu kama huyo ulitakiwa umuombee (labda kama wewe ni Muislam). Lakini maombi ni siraha kubwa.
 
Na zile dalili za ujauzito ziliishia wapi..au haikuwa mimba na kama ni mimba itakuwaje nawee uko huru sasa...
Naona anatangaza fursa kwa vijana for the name of ukweli utakuweka huru..[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…