Mume wake ameanza kubadilika baada ya kujenga

Anataka kuoa/kuleta mke mwingine ndo mana anatafuta visa.
 
Acha kufundisha wake za watu ufirauni ndyo maana wanachukiwa na waume zao
 
For the sake of their marriage, hiyo nyumba waipangishe na wao warudi upangajini! Kodi watayopata hapo watalipia pango huko upangajini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…