Jay Wa Msimamo
Member
- Mar 11, 2013
- 73
- 12
Ndugu huyo mwanaume namjua ni mme wa mtu yes ameoa kwa ndoa kanisan coz ni mkristo na hana watoto 2 ni wa 4 watatu ndo kazaa na mkewe na 1kazaa nje.alikuwa na mtoto mwingine 1ambaye ni marehem.huyo baba ni mfanyabiashara na hujakuwa nae kwenye mahusiano miaka hiyo 4 kama unavyodai means umedanganya.
huyo baba ambapo mkitembea we kama mtoto wake hajakununulia gari kama unavyodai nabaada ya kujua ukweli alikuambia alikudanganya coz anakupenda.kama unajua au hujui huyo mbaba kwanza ni mganga wa jadi na hujapenda muonekano wake means hujampenda the way alivyo bali umependa vijisent vyake na najua hata awe na mkewe pemben hata usiku wa manane cm yako atapokea coz mke anajua kuna bi mdogo wa.mumewe c wewe ila kwa kuwa yule bi mdogo yalimshinda ambaye ni mimi na mume hataki wajue mi naye kilinuka tayar ndo mana anatumia mgongo wangu kukuweka we free but kamwe hawez kukukutanisha na family yake zaid ya marafiki zake anaofanya nao kazi ya uganga.bidada hapo maji umeyavulia nguo yaoge tu kwan usitegemee ipo cku utamwacha huyo mzee gharama za kumuacha ni kubwa kuliko kujitoa kuwa hawara kwa vyovyote vile anajua kulea lakin.....najua mengi yake huyajui kama nlivyojua mie nakushaur kabisaaa hiyo pesa hata shiling unayoila utailipa kwa gharama.endapo ukimuacha.na usipende akutumie pesa bank hazitupi zile risiti ng'oo matokeo yake utaniambia.ila hata ukiona mambo ya kuogopesha vp jikaze kiume huyo awe wako hadi kufa.huo ndo ushauri wangu kwako.umeingia jehanamu fia humo.siandiki kama story namaanisha ipo cku utarud jamvin.jitoe muhanga hapo ulipo hadi kufa.mimi namshukuru mungu ingawa kwa mbinde nimetoka nikiwa hai.
Kwani muwa ukishatafunwa unakua na kazi gani kama sio kutupwa?
Angekua anakupenda asingekuambia. Ungekuja kujua mwenyewe.
ahahahahahha wezi wamekutana!panakuwaga patamu hapo! watu8 come zis way!
ukimaliza shule mbwage!saizi kula maisha!
wewe utakuja kufa umesimama kama mzimu.........(ikimbie zinaaaaaaaaaaaaaaa)HAHAHAAAAAAAAAAAAAA! CHUNGU LAKINI DAWA! Upo hapo?
Totoz!nifanyaje jaman sikujua kama mume wa mtu nimesha kutana nae kimwili na ananisaidi sana katika mahusiano yetu sasa tuna miaka minne ila mwezi huu wa nne mwaka huu ndo ameniambia kuwa anmke na watoto wawili. Nimeumia sana ila kani hakikishia kuwa ananipenda na hato niacha ammesha ninunulia gari na ananisomesha chuo mwaka wa kwanza huu je nifanyaje maana na mi sina mpenzi zaidi yake na ninahisi naumia kila nikihisi yupo na mkewake.
mke wa mtu sumu mume wa mtu maziwa
nifanyaje jaman sikujua kama mume wa mtu nimesha kutana nae kimwili na ananisaidi sana katika mahusiano yetu sasa tuna miaka minne ila mwezi huu wa nne mwaka huu ndo ameniambia kuwa anmke na watoto wawili. Nimeumia sana ila kani hakikishia kuwa ananipenda na hato niacha ammesha ninunulia gari na ananisomesha chuo mwaka wa kwanza huu je nifanyaje maana na mi sina mpenzi zaidi yake na ninahisi naumia kila nikihisi yupo na mkewake.
mwanamke wee, lol, namshauri afate hayo only becoz anamalizia shule kwanza then akishapata lyfe yake amuage tu mume wa mtu ila heshima muhimu kwa ndoa ya watu hasa mke halali amuheshimu aendelee kula mema ya nchi hadi atakapomaliza chuo,nb usijaribu kuzaa na huyo mume anyhow pls