Mume wa mtu nouma

pole sana dada wenzio mhogo unakatalia ndani inashindikana kutoa wewe bado unataka, utakufa take care
 

Duh, kweli ukistaajabu ya Mussa utaona utaona ya van dame....
 
Eti anakupenda wewe kuliko mke wake, na wewe ukaamini bichwa hiloo? Hebu waelewe wanaume kwanza, na kama umempatia kipochi manyoya kwisheni!!!.. tulia na huyo swithat wako, acha tamaa mamii!!!
 

unaonekana unatamaa, au boyfrnd wako hana uwezo wa kukuhudumia, keshakwambia ana mke we unataka nini kwake tena? Mungu katupa akili za kujua mema na mabaya ila binadamu wanageuza ubaya kuwa wema........angalia sana weeeeeeeee
 
Kha!!! una mchumba wako, keshakwambia yeye ameoa, sidhani kama kuna haja ya kuomba ushauri hapo dada. Watu wengine sijui vipi!!! binafsi nilipokuwa bado sijaolewa nkisha ligundua lianaume lina mke hata niwe nalipenda kiasi gani mapenzi yanaishia hapo. Ebu kuwa na msimamo dada yangu, yaani wadada tunajidharaulisha wenyewe halafu tunalalama eti wanaume wanatuchezea!!! sasa mtu ushamujua ni mpitajia tu we bado umo umo tu!!! halafu eti unaomba ushauri. Khaaa!!!!!!!
 
Mmh! Sina cha kushauri hapa
 
kweli aliyesema 'wanawake mwalimu wao kipofu' hakukosea.....ni hayo 2!
 
Mahabuba wako huyo!Huwezi kupata mwanaume anyekupenda kama huyo yaani anakwambia ukweli woote bila chenji!
 
ipo siku ukikua utajua nini alichoongea huyo mshikaji wako
 
jibu unalo huyo hana upendo na wewe kabisa
 
uko serious or unatania? Mume wa mtu+wewe ni mchumba wa mtu=>unaulizia kama huyo mume wa mtu kakupenda!
:.Hivi una akili kweli au?
Mume wa mtu+Kukupenda wewe+wakati tayari ashampenda mmoja kamuweka ndani=kakuita malaya=> upendo wake kwako huoni ni wakati mkiwa wawili tu!?
mbele za watu anakuita malaya!!!
Huyo mchumba wako angefanya hivyo wewe ungejisikiaje?
 
ah mbona sharing is caring jamani...wewe mpe nae aonje utamu wa K yako bana. wanawake acheni kubani hizo K zenu

jamani! kwan zmekua karanga! yan kila anaetaka aonje!
 
UKIMWACHA HUYO HUTAKAA UPATE MWINGINE ATAKAYEKUPENDA NAKUKUAMBIA MANENEO MATAMU KAMA HAYA

'''''''wewe dada unaakil timam nimelala na mke wangu alaf unanisumbua we mjinga nin,malaya wewe usie kuwa na aibu kama unawashwa kauze upate hela nyooko'''''''

NG'ANG'ANIA HAPO HAPO MWENZANGU ANAKUPENDA SANA HUYO
 

roho imeniuma ulivyomjibu kwa ufasaha wakati anaonekana ana utindio wa ubongo huyu dada
 
Hamjamuelewa huyu bint
mimi nimemuelewa kabisa hajasema ukweli
huyu anatembea na huyo cha matusi kafall kwake sasa jamaa kala mzigo kaukinai kampiga chini bi dada akawa busy kumpigia mume wa mwanamke mwenzie simu kubembeleza penzi kwa bahati mbaya akapiga late mume na mkewe wapo sittingrum wanaangalia taarifa ya habari mke akagundua kuna mchezo mchafu.Ikabidi mume apige simu atukane amridhishe mke.
Sasa mtoa mada hapo kaconfuse kafall kwa mume wa mtu,katukanwa na siku ya 3 hajatafutwa loooo
kitali kuwa mkweli utasaidiwa nenda love connect utampata wa kwako
siku njema
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…