Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,144
- 3,459
DADA KASOMESHWA NA MUME WA MTU HADI KAMALIZA SHULE.
Mume wa mtu kasomesha mdada hadi akamaliza shule.
Dada kamaliza Chuo kashapata mtu wake anamkataa mume wa mtu alomsomesha kwa sababu mara nyingi ukisomesha kadada lazima huko chuoni kakutane na mahendisamu wanaojua kuoga na kupaka mafuta.
Kaka (mume wa mtu) ni mwimbaji wa kwaya ya SDA ya the lighthouse ministers tena anaimba besi na anategemewa kwelikweli
Muda wote wakiwa kwenye penzi zito wote wanaimba kwaya
Muda wote wakiwa kwenye penzi zito kaka huyo ana mke na watoto wawili
Mud wote wakiwa kwenye penzi zito dada huyu Mary Claire anajua kabisa kaka huyo ana mke na watoto wawili
Baadaye mambo yameharibika kaka kashindwa kuvumilia baada ya kujibiwa "Kwani nilikutuma unisomeshe" sentence hii inataka kufanana na kwani nilikutuma unihudumie??
Kaka wa watu akakachomwa moyo na majibu ya mary claire anaamua kukodi vijana wa hovyo kutekeleza shambulio la kigaidi.
Dada ametulia huenda alikuwa anaangalia TV au au amejilaza sebuleni mimi sijui
Mara ghafla anashambuliwa na kumwagiwa tindikali na uso wake na hali yake-Anakuwa taabani.
Anakimbizwa Kenyatta National Hospital kuokoa uhai wake.
Uchunguzi unaendeleaaa
My take :
Hela ya mwanaume ukiila jiandae kuitolea jasho na mahesabu hata EVA alipokula tunda leo hii tunajuta kwa sababu yake.
Dada hakuna kitu cha bure duniani labda thread za dogoli kinyamkela ☠️💀ndizo utapata bure hapa.