Mume wa mtu ananitesa

Hapo unachotafuta ni nini? maana mmesha sex kinadharia, bado kwenda Lab kutest kwa vitendo..huyo Mungu unaemuogopa ni yule wa Kenya (mungu Wanyonyi) au ni Mungu muumbaji? we endelea tu
 

NOTHING GOOD HAS EVER COME OUT OF INFEDILITY!!!! TULIA KWENYE NDOA YAKO.
 
Kinacho kuumiza ni kumtumia jamaa picha za uchi halafu hajakugonga mpaka leo,

Ilishawahi nitokea ,kuna mother flani alitokea kunipenda sana but mim sikumpenda kiivo kutokana na umbo lake ,akawa ananitumia picha,nilimblock kila mahali then nikabaki kimya mpaka Leo,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hufai hata kwa kusukia jamvi. Heshimu ndoa yako na utulie usitake ushauri wa kijinga.
 
Mungu atabaki kuwa Mungu milele.........umeshachepuka 50%.....sasa unahangaika.....huyo jamaa ana busara sana......jisafishe moyoni mwako uishi kwa amani....wala usitake awe sijui kaka rafiki...wacha kabisa......ibilisi anakuotea,,,mpinge kwa nguvu zako zote........unachotaka kumpa mpe chote "MMEO"
 
KWANI KUCHEPUKA NI NINI?
AND HOF YA MUNGU NI NINI?


kuna vitu hembu mumuache Mungu wa watu ahesabu makundi yake ya malaika akimaliza ajipe zake siesta!
 
Huyo jamaa wa muheza kashakushauru vizuri tu. Acha mawasiliano naye utamfuta akilini mwako ,ila ukiendeleza mawasiliano,lazima utachepuka ingawa kuchepuka nusu tayari,si mmeshaoneshana nyuchi zenu
πŸ˜‚πŸ˜‚kweli hapo ni kama tayari wameshamenyana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Naona umeamua kumjaribu shetani. achana na hizo fikra. Unafikiria kwamba huyo jamaa ni mwema kwa kuwa uko mbali naye. Ukizama jumla yatakukuta yaliyomkuta mwenzio.
 
God bless u mwamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…